Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Machoko wamevamia Mpira Sasa wamevamia na siasa what's next? Mbona walipo uvamia mziki tuliwaachia wawe na amani lakini hawatosheki?
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Katika watu wapumbavu hii dunia ni Abdul na mama yake. Unamtua mtu na makapu ya fedha kama amebeba karanga kwenda kwa mtu kama Lissu eti kumnyamazisha? Ndiyo maana hata mikataba inayoingiwa ni ya kuuza nchi. Mama alitakiwa kuimba taarabu yule.
 
You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.
Nyerere wa kulaumiwa!
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Kuuanika uovu ndiyo usaliti wenyewe au kipi haswa?

Mnahaha sasa vimbwenelehi
 
Wote ni dini ile! Hawanaga akili

You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.
Acheni kushambulia dini na mavazi (kanzu) ya watu.

Shambulia hoja za mtu.
 
You are somehow right. Wala sidhani kama ni dini bali utamaduni wa kiarabu. Waarabu ndiyo wana culture za aina hii. Mi-kanzu muda wote. Hata kwenye hiyo sherehe wanasema lilikuwa limevaa li-kanzu. Toto pumbavu kabisa lile na mama hivyo hivyo.
Hadi mama anamaliza urais shekh Abdul atakuwa bilionea $ dollars 🤣🤣🤣🤣
Bongo tambarare from kizmkazi kuja kumiliki uchumi wa Tanganyika
 
View attachment 3182157

Haya ni maneno ya Tundu Lissu

“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”

Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.

Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake wafanye discussion ya kulipwa pesa kwa mgongo wa nyuma.

Mropokaji huyu na mfitinishi lazima afunzwe adabu na Mbowe ili iwe funzo kwa wasaliti wengine.
Mshenzi ww
 
Nyerere wa kulaumiwa!
Mkuu Nyerere kafariki siku nyingi mno. Kama yeye ndiye chanzo muda wa kujirekebisha tuliopata ni mkubwa mno. Kna watu kama wayahudi wamepitia mambo mazito lakini sasa hivi wako juu. Tabia ya kutoa lawama kwa ''yaliyopita'' inafanya mtu usikumbuke kujirekebisha. Wameshaingia marais wengi baada ya Nyerere na wamefanya mabaya kuliko Nyerere.
 
Abdul anakua maarufu kuliko chura ..kumbe ukiwa mtoto wa Rais na wewe ni sawa na Rais . TZ Nchi ya kiboya
 
Back
Top Bottom