Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hakuna video ya mahojiano yao hadi sasa kwahiyo hizo ni bla blaa tu mbele ya kamera za vyombo vya habari.Hao wamezidiana ujanja kwenye pesa sasa Lissu hasira zake anakuja kuchafua wenzie. Wote hao wamelamba asali.