Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
CHADEMA kwa sasa inakwenda kumpata mtu safi, tena safi kweli kweli, siyo mlafi, mroho, huyo wenje kama chadema ipo makini - - imuengue hafai Narudia endapo chadema kama ni chama makini wenje asiruhusiwe kugombea hana maadili safi hawa ni wale wanaojali matumbo yao,Kumbe wenje ni mpuuzi kiasi hicho.
Kipi kipya hapo? Mpina kuhusu bashe alikuwa anaongelea chooni? Sisi tunafurahi kwa maana tunajua mwisho wao umefika, chama dume kiendelee kushineAmeshaonyesha hatoshi
Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.
Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.
Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.
Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.
Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.
Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.
Lissu hajui siasa.
Sio Rushwa hiyo inaitwa BAHASHISHIKumbe tunadanganywa kumbe wakubwa wa CHADEMA wanachukua RUSHWA kutoka upande mwingine.
Tusubirie mabomu ya LISu siku 10 au 17 kabla ya uchaguzi yasiyojibika na mtu yeyote wa CHADEMAMbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Wewe ni mmoja wa raia mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe.The gentleman is completely a looser in everything in politics kwasabb ya mdomo, papara na tamaa 🐒
Kaka utakuwa sio mwanasiasa.Uhalifu siyo mambo ya chama au serikali .. serikali ni chombo kitakatifu na siasa inatakiwa kuwa takatifu yani vyombo vya HAKI ...uhalifu ni uhalifu ni kosa kuuficha ficha lazima upaziwe sauti ...mbona kipindi cha JPM hao chadema walikuwa wanapaaza sauti dunia nzima kukemea mambo waliyo dai ni maovu tena mambo ya siri za nchi kabisa
Gentleman,Wewe ni mmoja wa raia mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe.
Unaamimi katika rushwa na uhalifu.
Lisdu hategemei rushwa na siasa kujinufaisha kama ninyi.
Kwanza Lisau ni mfu aliyepewa nafasi nyingine ndogo kusimulia ukuu wa Mungu.
Hana cha kupoteza wala hata kuwa na ha kupoteza
Kiongozi wa siasa lazima uwe na kifua na kuweza kuchunga ndimi yako.
Lissu Mchanga wa siasa
Imagine ma-CCM yakianza kuchongeana hadharani.
Kuungwa mkono maana yake ashinde kwa asilimia zaidi ya 80 sio kupita bila kupingwa kama unavyofikiriDemokrasia ya wapi hiyo kutaka uungwe mkono na wote!
Siasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.
Same ukiwa serikalini; hiyo ni ritual ya siasa duniani.
Hayo ni mambo ya kutoa leak wengine waseme sio wewe.
Vinginevyo unatakiwa kutunza siri za ndani, huo ndio utamaduni wa siasa; vinginevyo utakibomoa chama,
Kuna tofauti ya siri na vitendo vya kihalifu
Lisu sio mfitini ,lisu ni mkwelilisu ni mfitini wallah
Lissu sio muoga hadi kutaka kumlamba miguu mwenyekiti kama unaowasema....Watanzania wanataka watu ambao wanaothubutu kama Lissu.Lisu Lisu, Magufuli aliimba mapambio mno kabla ya kuwa rais na kuonesha rangi yake halisi. Ungekuwa mtulivu kidogo ukwae vidato ndio upitishe fagio lako. Bila uungwaji mkono na wenye nafasi zao ni nadra kuruka viunzi. Naamini hata wale wa karibu wanaokuunga mkono sasa wameanza kuhaha kuwa uyajuayo kuwahusu au Yale walokuambia ni swala la muda tu. Kaba kaba ya kisemeo jamani
Ugali usio na mboga huo ndugu achana nao utakukaba.Lissu kaamua kumwaga ugali..
Ndio maana kuna ‘whistle blowers’ wanaotoa habari; wengine waropoke.
Lakini kiongozi utakiwi kusema mambo ya ndani ya chama au serikali.
Wote walioshinda kuwa wenyeviti wa chadema ngazi ya Kanda ni watu wa Mbowe. Very soon utaisikia mashambulizi toka kwa sugu kwenda kwa LisuKumbe wenje ni mpuuzi kiasi hicho.