Ameshaonyesha hatoshi
Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.
Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.
Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.
Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.
Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.
Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.
Lissu hajui siasa.