Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Pre GE2025 Lissu: Aliyemleta Abdul kunihonga anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti na anamuunga mkono 'Mwenyekiti'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ameshaonyesha hatoshi

Huko serikalini kila mtu angekuwa anamchongea mwenzake sijui ingekuwaje.

Ndio maana, mawaziri wanaapa kutunza siri za nchi.

Hakuna serikali isiyokuwa na mambo ya hovyo duniani. Huko kwenye vyama vya siasa ndio kabisa.

Sasa mtu anaetoa siri za ndani, ndio wakumuamini huyo.

Mambo mengine ni ya ku-leak wengine waseme hiyo ndio political-etiquette sio wewe muhusika kusema direct.

Hivi unadhani CCM walio madarakani au wanasiasa wa nchi zingine wangekuwa wanachongeana. Kungekuwa na chama cha kudumu kweli.

Lissu hajui siasa.
Kipi kipya hapo? Mpina kuhusu bashe alikuwa anaongelea chooni? Sisi tunafurahi kwa maana tunajua mwisho wao umefika, chama dume kiendelee kushine
Watched wafu wazike wafu wao
 
Mbowe anaweza kuwa ni mmoja wa hao waliopewa hela na Abdul ndio maana Lissu anasita kuwataja. Lakini naamini iko siku atawataja.
Tusubirie mabomu ya LISu siku 10 au 17 kabla ya uchaguzi yasiyojibika na mtu yeyote wa CHADEMA
 
The gentleman is completely a looser in everything in politics kwasabb ya mdomo, papara na tamaa 🐒
Wewe ni mmoja wa raia mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe.
Unaamimi katika rushwa na uhalifu.
Lisdu hategemei rushwa na siasa kujinufaisha kama ninyi.
Kwanza Lisau ni mfu aliyepewa nafasi nyingine ndogo kusimulia ukuu wa Mungu.
Hana cha kupoteza wala hata kuwa na ha kupoteza
 
Uhalifu siyo mambo ya chama au serikali .. serikali ni chombo kitakatifu na siasa inatakiwa kuwa takatifu yani vyombo vya HAKI ...uhalifu ni uhalifu ni kosa kuuficha ficha lazima upaziwe sauti ...mbona kipindi cha JPM hao chadema walikuwa wanapaaza sauti dunia nzima kukemea mambo waliyo dai ni maovu tena mambo ya siri za nchi kabisa
Kaka utakuwa sio mwanasiasa.

Vinginevyo mwanasiasa utoi siri za ndani.

Hata sisi wa nje tunaongea jumla jumla tu kwenye kuwananga watu ambao tuna details zao za kina.

Wanaotuambia ni kwa sababu wanaelewa tunajua siasa na mipaka ya kuongea.

Seuse mtu aliekuwa makamu mwenyekiti wa chama anajua mangapi.

Lissu ni mchanga wa siasa, ni sawa akipewa umbea wa Ma-CCM na kuwalipua kwa hizo taarifa.

Mambo ya ndani ya CDM anatakiwa awape wengine wa nje waseme, wacha source ijulikane mmbeya nini yeye.

Lakini Lissu kama yeye hawezi toa siri za chama.
 
Wewe ni mmoja wa raia mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe.
Unaamimi katika rushwa na uhalifu.
Lisdu hategemei rushwa na siasa kujinufaisha kama ninyi.
Kwanza Lisau ni mfu aliyepewa nafasi nyingine ndogo kusimulia ukuu wa Mungu.
Hana cha kupoteza wala hata kuwa na ha kupoteza
Gentleman,
unadhani kuna mtu wa kubabaika na makasiriko, mihemko, ghadhabu au aina hiyo ya ushirikiana wako..

Nani asie jua?
mbona iko wazi kabisa gentleman,
na jana wazee wamesema wazi kwamba, Lisu ni kibaraka anafadhiliwa na mabwenyenye wa magharibi ?

wazee wamekataa mtu anaishi ng'ambo na familia yake kwa fadhila ya mabereru, eti kuja kuongoza taasisi kama chadema 🤣
wamesema hawatakubali ushirikina kama huo..

hana cha kupoteza kivip, wakati kapoteza umakamu mwenyekiti, kapoteza uenyekiti tayari, nasasa anapoteza fursa na nafasi ya platform ya kupigia makelele na mdomo 🐒
 
Lisu Lisu, Magufuli aliimba mapambio mno kabla ya kuwa rais na kuonesha rangi yake halisi. Ungekuwa mtulivu kidogo ukwae vidato ndio upitishe fagio lako. Bila uungwaji mkono na wenye nafasi zao ni nadra kuruka viunzi. Naamini hata wale wa karibu wanaokuunga mkono sasa wameanza kuhaha kuwa uyajuayo kuwahusu au Yale walokuambia ni swala la muda tu. Kaba kaba ya kisemeo jamani
 
Siasa Ina taratibu zake, uwezi toa siri za ndani.

Same ukiwa serikalini; hiyo ni ritual ya siasa duniani.

Hayo ni mambo ya kutoa leak wengine waseme sio wewe.

Vinginevyo unatakiwa kutunza siri za ndani, huo ndio utamaduni wa siasa; vinginevyo utakibomoa chama,

Kutunza Siri ya uovu na maovu ni kushiriki hayo maovu.
Unajaribu kujieleza hapa kuwa wewe unasapoti maovu na waovu.

Alafu huo ni unafiki. Kwamba maovu yakitokea kwenu uwe kimya lakini Muda huohuo yakitokea kwa wengine useme. Hivi huu ushetani mlifundishwa na Nani?
 
Lisu Lisu, Magufuli aliimba mapambio mno kabla ya kuwa rais na kuonesha rangi yake halisi. Ungekuwa mtulivu kidogo ukwae vidato ndio upitishe fagio lako. Bila uungwaji mkono na wenye nafasi zao ni nadra kuruka viunzi. Naamini hata wale wa karibu wanaokuunga mkono sasa wameanza kuhaha kuwa uyajuayo kuwahusu au Yale walokuambia ni swala la muda tu. Kaba kaba ya kisemeo jamani
Lissu sio muoga hadi kutaka kumlamba miguu mwenyekiti kama unaowasema....Watanzania wanataka watu ambao wanaothubutu kama Lissu.

#Uenyekiti wa Lissu kwa CDM ni zaidi ya Gia angani iliofanywa 2015
 
Chama kinagawanyika sasa, tatizo la kuwa na watu wasiojua kipi kiongelewe mazingira gani, hata kama ni kweli kwamba kuna watu wanachukua rushwa, top officials wanaonywa ndani ya cycle, unless kama mambo yameharibika sana.

Ndio maana kwa maoni yangu sioni kama Lissu ninkiongozi mzuri, japo ni activist mzuri, radicalist mzuri ila uongozi ni package ambayo siamini kama ameibeba yote.
 
Back
Top Bottom