Wapi kasema aliyeshika ni Msigwa na si Mbowe!? Nataka unioneshe alipotaja jina la Mbowe. Acheni uchawiKwa hiyo Lissu anaichafua chadema kusema ukweli aliyemsaidia kushika chupa ni msigwa sio mbowe
Lissu hakuwa na fahamu,Mbowe kaweka kila kitu wazi sijui kwanini unapenda ligi.
Mtoa mada kapotosha.Mod ikiwapendeza pandishe clip ya Jokakuu kuondoa sintofahamu.
Chadema hamtaiweza milele alichemka mwendakuzimu itakuwa nyie chimba unye!!?lissu sio chacha wangwe, dikteta mbowe ajipange awamu hii yeye na familia yake wamiliki wa chama.
Mbona Mbowe alitoa maelezo ya kina?Acheni kuleta umbea...Mbowe huyu hapa anaeleza kila kitu.
..Na anasema aliyeshika chupa ya damu ni Msigwa.
..Mbowe hajawahi kusema kuwa yeye ndiye alishika chupa ya damu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
nimeshangaa sana na kuna mtu kapewa seniour member ndani ya siku mbil kajiunga jumanne alhamisi ni swniour member. Yaani kweli JF inatia wasiwasi sana mpaka naogopa!🤔Ukiandika habari moja ya kuchafua Chadema jf, Unalipwa Laki 1 kutoka kwa Pedeshee, ndio maana wanapishana humu na muda si mrefu wataanza kulogana
Utajinyea kitandani hachana na hiyo ndoto!Ni swala la muda tu, ccm wataipasua chadema
Hivi hayo matamshi yake aliongea kabla ya Lema na Msigwa au baada yao? Mbona kama aliongea before na hakuhusisha na comment ya Lema na Msigwa?Kwa mara ya kwanza naanza kupata wasiwasi na uwezo wa Mheshimiwa Lissu katika namna kuendesha siasa zake.
Ni wazi tena pasipo shaka Lissu hadi kesho ni mgombea uRais wa Chadema lakini njia anayoitumia hakika hatofika mbali wala hawezi kushinda uRais iwapo atakuwa sehemu ya vurugu ndani ya chama chake.
Kumbe Lissu ni mjinga sana.Katika siasa huwezi kusonga mbele kama unajiweka ktk eneo la vurugu ndani ya base yako mwenyewe.
My..Mbowe huyu hapa anaeleza kila kitu.
..Na anasema aliyeshika chupa ya damu ni Msigwa.
..Mbowe hajawahi kusema kuwa yeye ndiye alishika chupa ya damu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
... isije ikawa ni member wa zamani kidogo aliyebadili jina!nimeshangaa sana na kuna mtu kapewa seniour member ndani ya siku mbil kajiunga jumanne alhamisi ni swniour member. Yaani kweli JF inatia wasiwasi sana mpaka naogopa!🤔
Hivi hayo matamshi yake aliongea kabla ya Lema na Msigwa au baada yao? Mbona kama aliongea before na hakuhusisha na comment ya Lema na Msigwa?
Naki CCMWasitafute outputs wao waanzishe chama huru watu tujiunge.
Hayo mambo ya kushika chupa ya damu, mara huyu hakuongwa na Joseph hayana faida kwa sasa.
Wafuasi w chama cha kupinduka haoMbona hizi habari za chadema zimeshika kasi humu... kwani kunanini?!
Sio Lissu tu, mtu yoyote ataemnyooshea kidole Mbowe wenu mtamuita mjinga na majina yote ya kumdhalilisha.Kwa mara ya kwanza naanza kupata wasiwasi na uwezo wa Mheshimiwa Lissu katika namna kuendesha siasa zake.
Ni wazi tena pasipo shaka Lissu hadi kesho ni mgombea uRais wa Chadema lakini njia anayoitumia hakika hatofika mbali wala hawezi kushinda uRais iwapo atakuwa sehemu ya vurugu ndani ya chama chake.
Kumbe Lissu ni mjinga sana.Katika siasa huwezi kusonga mbele kama unajiweka ktk eneo la vurugu ndani ya base yako mwenyewe.
Mimi nimemnukuu Lema ndio maana umepuuzwa sababu hujui unachokielezea umechanganyikiwa na balaa la Lissu..Ni clip ambayo imekatishwa ili kuakisi uzushi wa mtoa mada.
..wakati Lissu yuko nje ya nchi Mbowe alikwenda Ikungi Singida na alisimulia mkasa mzima wa kutoa Lissu Dodoma kwenda Nairobi.
..Mbowe alisema Msigwa ndiye aliyesema chupa ya damu kwa ajili ya Lissu wakati wakiwa ktk ndege kwenda Nairobi.
..pia alieleza kwamba yeye, Mbowe, alikuwa ameshikilia mtungi wa gesi kwa ajili ya Lissu.
..Ccm wameshindwa kujibu hoja za Lissu ktk mikutano yake mkoani Singida hivyo wameamua kufanya propaganda.
Aliyejuu GA jumanne ni nani kamanda?nimeshangaa sana na kuna mtu kapewa seniour member ndani ya siku mbil kajiunga jumanne alhamisi ni swniour member. Yaani kweli JF inatia wasiwasi sana mpaka naogopa!🤔
hivi ukibadili jina na mwaka uliojiunga unapotea? Kuna utaratibu gani wa mtu kuwa seniour member ndan ya siku moja? Daaah JF inatishia amaniMy
... isije ikawa ni member wa zamani kidogo aliyebadili jina!
Uwe unauliza mdogo wangu sonofobia usikurupukeAliyejuu GA jumanne ni nani kamanda?
Lissu ndio amewavuruga kiasi hiki?
Hii chupa ya damu sasa imegeuka kuwa chupa ya bushman kwenye film ya the gods must be crazySiasa sasa zimehamia kwenye chupa ya damu!!!
Ukiwa na waridi ni lazima unukie waridi,ama amini nje ya waridi inaweza kuwa na marashi yasiyowavutia wengi,demokrasia ya Sasa ni ya hovyo kabisa,usiposhinda wamehujumu,badala ya kufanya propoganda Sasa mwendo wa kuzusha,kupagazie,kushutumu,kuzira na kuyumbisha.Kamanda Lissu baada ya kumgusa mbowe amekosa fikra pevu?
Haya ni matusi.