Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Nyakati gani Kamanda, mwenyekiti kashindwa kuleta mabadiliko inabidi aondoke.Wewe kada punguza fitina. Hili jambo Mbowe ameliongelea leo. Cdm ni mali ya waTz na Mbowe ni mwenyekiti wa tatu tangu kuanzishwa kwake. Tanu/Ccm wana miaka zaidi ya sitini na Samia ni mwenyekiti wa sita. So mambo mengine ni maswala ya nyakati .