Na hao ndio watu hatari zaidi kwenu kuliko Lissu.CCM tunataka Mbowe na Wenje
Wanazungumzika hawa wazalendo wa Taifa letuNa hao ndio watu hatari zaidi kwenu kuliko Lissu.
DJ Mbowe mutu ya CCM Posta Club Uhamiaji hatari wa nani? 😂Na hao ndio watu hatari zaidi kwenu kuliko Lissu.
😂😂😂😂🌹Wanazungumzika hawa wazalendo wa Taifa letu
Wewe ni wa kuhurumiwa tu...kutojua kuwa hujui nako ni sifa pia. Najua roho inavyokuuma lakini wakati mwingine kukaa kimya huficha mengi.Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?
Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.
Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.
Kuna watakaosapoti usemacho na hao hao walitaka apewe nchi.Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?
Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.
Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.
Kwa maoni yako unataka sultani ndio aendelee kukalia kiti? Kama mnampenda sn mchukueni aje kwenu hiyo nafasi iliyokuwa wazi ya makamu mumpe yeye au mnasemaje?Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?
Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.
Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.
Mimi ni CDM pure na sio ccm kama wewe ila ukweli ni kwamba Lissu hafai kuwa top leader ni divisive sana.Kwa maoni yako unataka sultani ndio aendelee kukalia kiti? Kama mnampenda sn mchukueni aje kwenu hiyo nafasi iliyokuwa wazi ya makamu mumpe yeye au mnasemaje?
Lisu hajawahi kuwa top leader.Mimi ni CDM pure na sio ccm kama wewe ila ukweli ni kwamba Lissu hafai kuwa top leader ni divisive sana.
Yani unamuamini lema ,kichwa majiKwa aliyoyazungumza Lema jana aisee ni bora TAL ashike kiti vinginevyo CDM inaenda kuanza 0
Nashindwaje kumuamini mtu aliyesema waziwazi Magu atakufa na kweli ikawa hivyo.Yani unamuamini lema ,kichwa maji