Lissu amechangamsha CHAMA, ni kama ilivyokuwa uchaguzi 2020, na hicho ndicho awezacho, apewe maua yake lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa CHAMA

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.

Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?

Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.

Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.
 
Wewe ni wa kuhurumiwa tu...kutojua kuwa hujui nako ni sifa pia. Najua roho inavyokuuma lakini wakati mwingine kukaa kimya huficha mengi.

Sifa kubwa ya kiongozi ni uwezo wa kuwatoa watu wake mahali walipo hadi mahali ambapo wangetamani kufika...Lissu ana uwezi huo tena sana tu!
 
Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.

Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?

Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.

Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.
Kuna watakaosapoti usemacho na hao hao walitaka apewe nchi.
 
Kwa aliyoyazungumza Lema jana aisee ni bora TAL ashike kiti vinginevyo CDM inaenda kuanza 0
 
Kwamba wewe unakijua chama kuliko Heche na Lema wanaomtaka awe Mwenyekiti?

Ni bora ungeuficha upumbavu wako.
 
Chadema inawajua kiindani sana hao kina heche ,lema kwanza lema kashindwa mapambano hajambea nafasi yoyote kwasababu anajua asinge shinda nafasi yoyote ngazi ya Kanda ata taifa
 
Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.

Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?

Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.

Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.
Kwa maoni yako unataka sultani ndio aendelee kukalia kiti? Kama mnampenda sn mchukueni aje kwenu hiyo nafasi iliyokuwa wazi ya makamu mumpe yeye au mnasemaje?
 
Mimi ni CDM pure na sio ccm kama wewe ila ukweli ni kwamba Lissu hafai kuwa top leader ni divisive sana.
 
Yani unamuamini lema ,kichwa maji
Nashindwaje kumuamini mtu aliyesema waziwazi Magu atakufa na kweli ikawa hivyo.
Lema aliyeshiriki kila operation ya CDM toka 2005
 
Back
Top Bottom