Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi.
Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni?
Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu wengi kuliko mwenyekiti wa CCM lakini huwezi kamwe kumpa Makonda uenyekiti, hata uenezi tu ulimshinda.
Ndivyo ilivyo kwa Lissu. Nafasi ya Lissu ndani ya CHAMA sio kuwa mwenyekiti, CHADEMA tunakosea, Lissu anafaa sana kuendelea na nafasi za chini ya mwenyekiti wa CHAMA.