Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia


Mkuu hivi ni lazima mposti upuuzi humu jf? Lumumba siku zote mnatia aibu kwa akili ndogo.
 
Siku ya leo sijabahatika sana kutembelea mitandaoni,ndio naingia now.

Kama ni kweli Lissu kafanya hivyo huo ni MTEGO kwa mama au Ni Silaha kwa lissu.

#namwenye masikio asikie!!
 
Mleta hoja siku zote ana tabia ya kukurupuka kama uharo sijui kwanini!
Nahisi kichwani hakuna utulivu!
 
Mkuu, katiba imempa Mh Rais mamlaka makubwa mno, kumbuka hata hao majaji, mahakimu na watendaji wakuu ktk mihimili mingine ya serikali kama, Bunge wanapendekezwa na Rais.

Hivyo basi, hata asipotumia Mamlaka yake kushawishi kesi hiyo ifutwe, ukweli utabaki palepale kuwa Mh Rais yupo juu ya mihilimi yote ya serikali kwa mujibu wa katiba yetu.
 
ndio kuomba kwenyewe huko, kwanini asiache mahakama ifanye kazi yake bila kuingiliwa.

Lissu hajaomba,,, hio ni kesi ya Mchongo..

Lissu hajataka mahakama iingiliwe,,ila anataka Rais awakemee hao watendaji wa mahakama ili wazingatie kanuni za kisheria...

Wakishazingatia hizo sheria,, Mbowe ataachiwa coz hadi sasa hamna kesi pale..
 
Kuna undergraduate wajinga sana huwa wanajua unaweza ukatafutwa na ikulu ukisifia madudu ya viongoz wa nchi,we kwa elimu yako umejiridhisha kabisa mbowe gaidi! ukibanwa maswali na uhakika utakua unaenda haja kubwa kila mara,maana mishipa yako ya ubongo imelegea mpaka mkiani
 


Vichekesho Tanzania yaani kama ni kweli Raisi amwachie gaidi😂 ambaye anataka kulipua nchi ambayo yeye ni Raisi… vituko tupu. Gaidi ambaye akienda mahakamani hata pingu havalishwi! Hapa hakuna kesi ni vituko tu. Hivi unajua ile kesi ambayo iliwapeleka jela mahakama ya rufaa ilitengua maamuzi pamoja na kesi ya Sugu mahakama ilitengua maamuzi! Hizi kesi ni za kisiasa za kubambika
 
Umeeleweka kama chawa wengine. Hakuna kazi nyingine ya vichwa vya mataga zaidi ya kufuga nywele...
 
Kesi mashahidi wa Jamhuri kila siku wanaumwa, walikuwa wawe 24, leo wameishia 13 unasema utetezi wana hali mbaya tena
 
Daaah! Halafu unakuta jamaa ni head of the family some where
 
Unapata faida gani kushupalia kesi mchongo?
 
Weka na ushahid wa kimahakama uliopelekea mpaka Lisu aone hachomoki!!
 
... thread ya hovyo! Chawa hamjui mshike lipi muache lipi; endeleeni kuwa kwenye zile fikra za chuki za baba wa chuki.
Kuna kakundi ka watu waliitengeneza na kubuni kesi ambayo madhara yake tunayaona.
Kuvuruga umoja wa kitaifa.
Sasa wanaumbuka aana pamoja na kesi kuiendea vibaya serikali iliyomshitaki, hawaoni umuhimu wa kupatana na kumaliza maovu yaliyo asisiwa na yule mkabila, mwizi, na muuaji.
Lakini Mungu anawapenda Watanzania.
 
Ina onysha una mtindio
 
DCI,luteni urio,kingai ndo classmate wako walikuwa
 
Kesho akiachiwa utapongeza swine wewe?
 
... thread ya hovyo! Chawa hamjui mshike lipi muache lipi; endeleeni kuwa kwenye zile fikra za chuki za baba wa chuki.
Kikubwa suala la mbowe liishe then... taratibu zingine zifuate....
Hamna haja ya kuendelea na kesi ambayo mashaidi wote hawana ushaidi inayoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…