Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

Tutafanyaje ndo akili yako ilipoishia kufikiri na sjui kama akili yako iliwekwa kichwani ama shingoni Asprin
 
Mbona umeandika ukiwa na muelekeo wako sasa unataka sisi tusome kama jarida?
 
Vitu vingine vinachekesha.

Upelelezi kwa ugaidi unadoaiwa kuwa wa 600k ndio useme walitumia pesa nyingi pesa gani hizo?

Kama una uchungu na pesa za walipa kodi waambieni bunge lenu la kijani lipunguze posho za vikao .

Na kwa mashahidi gani unaosema wametoa ushahidi wa maana? hawa akina Urio wasiojua maana ya neno hata homeboy na hawajui wapi pa kureport huko kwao?
 
Ushahidi umenyooka gaidi anafungwa...
Kama wewe ndiye Jaji unaweza kupindisha ukweli kuwa uongo,sawa mfungeni ila kwa ushahidi uliokwisha wasilishwa mahakamani:Sidhani kama kuna kesi ya kujibiwa.
Muda ukiwadia usikimbie.
 
[emoji848]
 
Kama wewe ndiye Jaji unaweza kupindisha ukweli kuwa uongo,sawa mfungeni ila kwa ushahidi uliokwisha wasilishwa mahakamani:Sidhani kama kuna kesi ya kujibiwa.
Muda ukiwadia usikimbie.
Kaa kwa kutulia..
 
Mipumbavu iliyokosa akili ndio inandikaga upuuzi kama huu
 
Huyu toothpick ameshaanza mvurugano mapema hivi?
 
Mtu anatoka Segelea hadi Ikulu, ni mtu wa namna gani?

Labda mama alikuwa anawashwa basi.

Na kamati yenu kuu inaiangushia jumba bovu polisi.

Wewe utakuwa si riziki.
 
Magufuli aliacha mbegu mbaya sana. Oneni vidampa wake wanavyohangaika kama wachawi mitandaoni.
Huku wapo hawa, mtaani kina Makonda. Na bila kuwatupa jela wote hawa kama lile li jenerali la kuchonga li 7ya hakuna utulivu hapa nchini maana ukisha kula nyama ya mtu kuacha huwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…