Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

“Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nayo sawa waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa, endapo hiyo namna ya ku-run nchi (kuongoza nchi) hivi sasa deni letu ‘seventy trilioni’ (Sh70 trilioni). hivi nyinyi si wasomi ‘is that healthy’ (hiyo ni afya). Kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” alihoji Ndugai kwenye mkutano huo wa kimila wa kabila la Wagogo
 

Nyumbus wengi wametiwa upofu na chuki yao dhidi ya Speaker Ndugai. They have no objectivity whatsoever!
 
Jambo lipo kweli, jambo lenyewe ni kumdharau rais kwa sababu ni MWANAMKE na vile ni MZANZIBARI. Maana hili liliwauma sana, ukitizama Zanzibar ni Mzanzibari (wa kulazimisha), ukitizama Muungano ni Mzanzibari 😀
 
Hata Lowasa ulisema hivihivi
 
Sijawahi kua upande wa ndungai, ila la kwenye nchi kuuzwa alikua sahihi...
Bora angebaki kwenye msimamo wake hata wakimtengua..
Kaomba msama means amekosea ile hali yuko sahihi na bado watamtumbua.
Kajidhalilisha sana
 
Hapa ndipo unaona mapungufu ya huu muhimili kwamba haujitegemei. Ndo maana Spika anaonekana kama mteule wa Rais. Anatetemeka na kuomba radhi.
Watz wanadai katiba mpya Ndugai kwa unafiki wake anajifanya haelewi acha yamkute.
Yaan kabisaaaa yamkute ili ajue kuheshimu mawazo ya wengine.
 
Mimi niko na Mama against Ndugai ambae ni mpiga zumari wa Dikteta uchwara.

Good Dictator is a dead one tumepumua daadeki!! Vitumbua vimejaa mezani.
Safi sana!
.
Tuko na mama hata kwa gaidi
 
Jambo lipo kweli, jambo lenyewe ni kumdharau rais kwa sababu ni MWANAMKE na vile ni MZANZIBARI. Maana hili liliwauma sana, ukitizama Zanzibar ni Mzanzibari (wa kulazimisha), ukitizama Muungano ni Mzanzibari 😀
Mbona kwenye hoja ya Ndugai hajaweka uanauke wa rais
 
CCM wote hawa misimamo,Ndugai alikuwa sahihi baada ya kuona tumbo litakosa ugali kaomba msamaha, yaani CCM likija swala la tumbo misimamo yote Ina yeyuka, halafu baadae uta wasikia walisema vijana mjiajili huku wao wanakula
 
Tuko na mama hata kwa gaidi
Tumeshamwambia asiingilie Mahakama ili Polisi na kesi yao ya kutunga ifeli Mbowe sio adui yake Adui zake ni nyinyi Kijani wenzake.
 
Ila Kuna kadada humu JF ni kanafiki! Kanafiki Sana 😏
 
Lakini kizuri zaidi aliyetaka kumuwahisha yeye ndio amewahishwa!!MUNGU ANATISHA, jamaa alikuwa ana jiona kama hawezi kufa vile, ila yeye ndiye wa kuamua nani aishi au afe.
Na charles mbowe pia amewahishwa
 
Tumeshamwambia asiingilie Mahakama ili Polisi na kesi yao ya kutunga ifeli Mbowe sio adui yake Adui zake ni nyinyi Kijani wenzake.
Kabisa mkuu!
.
Tuko pamoja na mama hata yale mahojiano kule bbc kuhusu gaidi alikuwa siyo yeye
 
Mheshimiwa Lissu kaweka wazi jinsi hawa washenzi MaCCM yalivyo tofautiana. Hana mpango na DHAIFU wala HANGAYA.
MaCCM pambaneni na hali zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…