Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Usimuunge mkono Ndugai! Unga mkono hoja yake?
Uunge mkono hoja yake ambayo kasema ni ya kutunga na ameomba msamaha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimuunge mkono Ndugai! Unga mkono hoja yake?
Mkuu sio uungwana huo!
Nadhani Lissu ameunga mkono kitendo cha Ndugai kimantiki.......Ndugai Yuko sahihi Lakini hatumuungi mkono maana ni kiongozi mshenzi. Tena ameturahisishia kazi kwa kuomba msamaha. Kama Lisu anamuunga mkono amuunge kimpango wake.
Hakuna cha Ugaidi hapo ni siasa tu, nyie wenye uelewa mdogo ndio mnahangaika.Kabisa mkuu!
.
Tuko pamoja na mama hata yale mahojiano kule bbc kuhusu gaidi alikuwa siyo yeye
Katika siasa hakuna cha ajabu, hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, na siasa zetu ni sihasa !!!Una akili sana
Tundu anaona mbali kwa maono yake
Usishangae akapatikana mgombea wa chadema kama alivyopatikana 2015
Mungu ibariki Tanzania
Ndugai hawezi kuwa mgombea wa CDM hana mvuto wala wanaomuunga mkono wa maana na hata akitoka CCM CDM hawawezi mpokea labda aende tuvyama kama chauma, infact Ndugai hawezi toka ccm. Hii mbwinu CDM walishajutia kosa lao so hawawezi rudia na hata uchaguz uliopita kwa ACT wazalendo na Membe napo imezidi kujulikana kuwa ni mbwimu ya ccm.
Hivi wewe huwezi kujenga hoja yako bila kumtaja na kumdhihaki JPM. Ni uwoga, upumbavu na utahira kumdhihaki marehemu asiyeweza kujitetea. Alipokuwa mzima ulifyata, sasa hivi kila unachoandika ni kumdhihaki. Acha tabia hiyo ya kijinga. Wote tutakufa.Mimi niko na Mama against Ndugai ambae ni mpiga zumari wa Dikteta uchwara.
Good Dictator is a dead one tumepumua daadeki!! Vitumbua vimejaa mezani.
Lisu kaongea vizuri sana kwamba kaomba msamaha sababu yeye ni ng'ombe tu kwa mama!Uunge mkono hoja yake ambayo kasema ni ya kutunga na ameomba msamaha?
Hawezi kuacha kumtaja maana ana mimba yake aliyomuachiaHivi wewe huwezi kujenga hoja yako bila kumtaja na kumdhihaki JPM. Ni uwoga, upumbavu na utahira kumdhihaki marehemu asiyeweza kujitetea. Alipokuwa mzima ulifyata, sasa hivi kila unachoandika ni kumdhihaki. Acha tabia hiyo ya kijinga. Wote tutakufa.
Hivi wewe huwezi kujenga hoja yako bila kumtaja na kumdhihaki JPM. Ni uwoga, upumbavu na utahira kumdhihaki marehemu asiyeweza kujitetea. Alipokuwa mzima ulifyata, sasa hivi kila unachoandika ni kumdhihaki. Acha tabia hiyo ya kijinga. Wote tutakufa.
Lisu kaongea vizuri sana kwamba kaomba msamaha sababu yeye ni ng'ombe tu kwa mama!
Ila ujumbe wake uko clear!
Tungekuwa na akili tungeungana na Ndugai bila kujali madhaifu yake!
Mbona tuliungana na Nyarandu, Lowasa na kina Sumaye?
Ameshaunga mkono hoja kwa kusema yupo sahihi. Au hujaelewa nduguUsimuunge mkono Ndugai! Unga mkono hoja yake?
singida dodoma singida dodoma
Teh teh teh teheheheeeeeeeeeee
Mtu aliyenyimwa haki zake kipindi yupo kwenye shida na huyo huyo wa kanda yake leo anamuona yupo sawa
Leo mnamuona Lissu akili kubwa sio?!Lisu anatetea hoja!
Ni akili kubwa tu ndio itamuelewa Lisu!
Uzuri mmoja kuhusu Lissu jamaa ni mkweli sana kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi hata uwe adui yake ukionewa atakutetea. Na hii ndio aina ya viongozi ambao hatuna Afrika.Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Tunamkaribisha Ndugai chadema ilo sje atuoeperushie bendera 2025[emoji851][emoji851]Lisu anasafisha njia. Mwaka 2025 sisiem ni bimkubwa na chadema ni Ndugai. Naona chawa wake washafarakana.. baadhi wanamuunga mkono makamu mwenyekiti na baadhi wanaweka akiba ya maneno.