Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.
Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.
Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.
Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
Kwa maana yako wewe hili walilosema kuhusu Makonda halina maana ?Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Yaani Makonda akutanishwe na Lissu? Mbona unamkosea adabu Lissu? Makonda huyo size yake ni vijana wa CHADEMA,tena wa ngazi ya chini kabisa.Ingekua vizuri siku Lissu na Makonda wskakutanishwa studio lakini polisi wakae katikati yao maana lolote laweza tokea
Asante nitaenda, ila naninyi nendeni ufipa mfatilie ruzuka anazokula mbowe na kundi lake.Kwa sababu Makonda ni criminal na USA wanalijua hilo na kama hautaki nenda pale ubarozi wa usa utapata ukweli