Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Adul kambaya kawaliza kina mama wengi CUF waliokua wanautaka ubunge wa viti maalum. Alikua akiwaambia kua Lipumba amempa kazi ya kuandaa orodha ya kina mama ili yeye lipumba ampelekee JPM awateue viti maalum na UDC.
Wakati mwingine hawa wanaotapeliwa, akili zao hazifanyi kazi sawasawa. Hivi Rais anawezaje teua wabunge viti maalum kutoka kwenye kisicho chake wakati sheria imeweka utaratibu? Huyo GSM kama aliingia mkenge nitamdharau uwezo wake wa akili.