Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Ingekua vizuri siku Lissu na Makonda wskakutanishwa studio lakini polisi wakae katikati yao maana lolote laweza tokea
Lissu hawezi kukaa na Makonda ambaye hata chuo pale ushirika alikuwa anabebwa tu.kilaza umkutanishe na genius kweli!
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Na hayo matatizo yanasabishwa na wanyama?

Amandla...
 
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
Lissu apunguze kuongelea wajinga wajinga.

Afocus na mambo ya kitaifa.
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Na wewe kaongee hayo mambo ambayo unaona yanaikabili jamii, nyie akili zenu tegemezi mnatarajia serikali itawaletea pesa mfukuoni. Unataka Chadema ndo wakuletee maendeleo? Serikali hailete maendeleo yako bali ina kutengenezea miundombinu ya wewe ufanye kazi uendelee
 
Kama Makonda alimtapeli GSM kwa kutumia jina la rais kwa mujibu wa Lissu je Makonda kama Mwenezi wa CCM anaeneza nini kwa niaba ya CCM?

Lissu kama Mwanasheria tunaamini hakukurupuka kumuhusisha makonda na utapeli. Otherwise makonda akanushe tena kwa kupitia mahakama.

Vinginevyo Makonda ni kama wale matapeli wanaowatapeli wananchi KWA majina ya viongozi!

CCM jitengeni na Makonda ni mchafu mtanikumbuka.
Makonda,dotto james na DPP wametapeli sana nyumba za wahindi masaki...dpp alichukua nyumba mitaa ya slipway ya muhindi kwa kumpa kesi ....muhindi amefungua kesi kudai nyumba yake
 
Ingekua vizuri siku Lissu na Makonda wskakutanishwa studio lakini polisi wakae katikati yao maana lolote laweza tokea
Sio kwamba Lissu alifyata mkia alipoombwa wakutanishwe na Makonda au kumbukumbu zangu ndo hazipo sawa?
 
Ukiona mtu anarudia matukio mabaya yawe yake au ya wengine basi huyo mtu ana depression mbaya sana hata kujiuwa anaweza
Simzungumzii yeye tu bali yeyote unaemjua mchunguze sana akiwa na tabia za kurudia mabaya ya mtu basi ni mgonjwa sana na anahitaji msaada wa hali
 
Back
Top Bottom