Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Makonda ni litapeli la muda mrefu sana!
Aliochukua mabilioni kwao kwa mbinu hizihizi ni wengi mno mno tena kwa vitisho!
 
Gsm Kama ametapeliwa ni sawasawa, unamjengea nyumba rais ili iweje, wote ni Wala rushwa ilitakiwa nyumba itaifishwe iwe Mali ya serikali.
 
Hata mimi mantiki siioni Magufuli ajengewe nyumba na GSM hapa Dar?! Ina maana Magufuli alikuwa hana uwezo wa kujenga nyumba hapa Dar mpaka akaokoteze GSM kumjengea nyumba?

Je ni kweli mtu mzima na mfanyabiashara mkubwa kama GSM aambiwe tu maneno ayafanyie kazi bila kuwa na uhakika kuwa taarifa hizi ni za Rais?

Kwangu mimi naamini Makonda na GSM walizurumiana huko kwenye kazi zao chafu maana GSM alikuwa anafanya mambo yake ya kibiashara kupitia viongozi so ni rahisi kumtumia Makonda kama mkuu wa mkoa kufanikisha mambo yake!

Baada ya Magufuli kufariki GSM akaamua kuchukua nyumba kwa kujua kuwa Makonda hana madaraka tena na Magufuli ashafariki na pia team Kikwete ishachukua hatamu!

Hizo porojo za Lisu hazina mantiki kwa mtu yeyote smart mwenye uwezo wa kudadavua mambo!

Lisu ni mtu wa maneno ya kuokoteza na tukumbuke huyu alishawahi kudai mlinzi wa Magufuli kafariki kumbe uongo, mara nyumbani kwa Magufuli kuna mamilioni ya dola kitu ambacho hakikuweza kudhibitisha!

Kwa hili la GSM sidhani kama lina ukweli kama alivyoeleza Lisu japo mgogoro upo kati ya GSM na Makonda!
Kwa upeo wako wa akili unaona umedadavua vizuri?
 
Utakuwa na tatizo, labda hujitambui.

Dunia mpaka leo inamzungumzia Hitler, na hufanya kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya Dunia, kila mwaka.

Matukio mabaya sana hufanyiwa kumbukumbu ili kuweka tahadhari yasijirudie.
Ni sawa usemalo,lakini je ni haya ndio mwanasiasa anatakiwa kuyaongelea kila uchwao
Kuna mambo mengi wananchi wanataka yasemwe
Kwa wengine sawa sema kijiweni hata kwenye ndoto ila sio majukwani kutwa story zilezile
Siku njema
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Ukikuta gogo njiani na ukaliondoa ili upite, hiyo siyo busara? Je, kwa kuliondoa gogo itamaanisha hiyo ndo kazi yako?
 
Lissu toka, atwange risasi amekuwa poyoyo tu. Yaan dogo kama Makonda nae, anawanyima usingiz? I remembered in the election of Tanzania in 1995 Mrema didn't discuss his party policy, instead he talked but people.
Hebu akutwange nana wewe halafu usimwogope tutakuoba nunda wa manunda
 
Ndio wasomi hawa tunawategemea aibu kwa taifa
 
Yaani serikali haina tofauti na wale bodaboda waliounguza basi la saibaba,wao sheria ni upuuzi linapokuja suala la masilahi yao.Makonda anakumbatiwa na wahalifu wenzake.
 
Watu wengi tulimsema vibaya Jiwe kumbe ni hao vijana wake waliokuwa wakifanya mabaya, harafu wanamsingizia Jiwe!
 
Lissu toka, atwange risasi amekuwa poyoyo tu. Yaan dogo kama Makonda nae, anawanyima usingiz? I remembered in the election of Tanzania in 1995 Mrema didn't discuss his party policy, instead he talked irrelevant issues.
Umechanganya kikorea na kingereza,hueleweki
 
Back
Top Bottom