Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Kama Makonda alimtapeli GSM kwa kutumia jina la rais kwa mujibu wa Lissu je Makonda kama Mwenezi wa CCM anaeneza nini kwa niaba ya CCM?

Lissu kama Mwanasheria tunaamini hakukurupuka kumuhusisha makonda na utapeli. Otherwise makonda akanushe tena kwa kupitia mahakama.

Vinginevyo Makonda ni kama wale matapeli wanaowatapeli wananchi KWA majina ya viongozi!

CCM jitengeni na Makonda ni mchafu mtanikumbuka.
CCM kumejaa matapeli tupu
 
Mimi sio shabiki wa mambo ya kisiasa hapa JF ila unataka Makonda akanushe tena kwa kupitia Mahakama kwa tuhuma ambazo zimetolewa kwenye media!

Kwahiyo kila anayetuhumiwa kwenye media anatakiwa awe anaenda Mahakamani kukanusha? huu ushabiki wenu wa kisiasa uliopitiliza, kuna muda mnafanya muonekane kama vile hamnazo.
Mtetee basi na uvamizi wa Clouds Media akiwa na silaha za kivita na jeshi la Ikulu
 
Ukiona mtu anarudia matukio mabaya yawe yake au ya wengine basi huyo mtu ana depression mbaya sana hata kujiuwa anaweza
Simzungumzii yeye tu bali yeyote unaemjua mchunguze sana akiwa na tabia za kurudia mabaya ya mtu basi ni mgonjwa sana na anahitaji msaada wa hali ya juu

Utakuwa na tatizo, labda hujitambui.

Dunia mpaka leo inamzungumzia Hitler, na hufanya kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya Dunia, kila mwaka.

Matukio mabaya sana hufanyiwa kumbukumbu ili kuweka tahadhari yasijirudie.
 
GSM NI RAIA FEKI WANAO MILIKI KIKUNDI CHA RAIA FEKI KUAKIKISHA WANAIMILIKI SERIKALI KUWA MALI YAO BINAFSI ....GSM NI JIZI LA TAIFA.....MBONA L8SSU ASWMI CHOCHOTE KUHUSU GSM ?kama MAKONDA ALIFANYA HIVYO NI SAWA KABISA MAANA NI HALALI KUSAMBALATISHA MAFISADI KWA NJIA YOYOTE.
Wahi matibabu.

Hata kama tuhuma zako dhidi ya GSM zingekuwa za kweli, hivi unasambaratisha uovu kwa kufanya uovu? Hizo ni akili au matope?

Makonda ni muuaji, Makonda ni jambazi.
 
Kama Makonda alimtapeli GSM kwa kutumia jina la rais kwa mujibu wa Lissu je Makonda kama Mwenezi wa CCM anaeneza nini kwa niaba ya CCM?

Lissu kama Mwanasheria tunaamini hakukurupuka kumuhusisha makonda na utapeli. Otherwise makonda akanushe tena kwa kupitia mahakama.

Vinginevyo Makonda ni kama wale matapeli wanaowatapeli wananchi KWA majina ya viongozi!

CCM jitengeni na Makonda ni mchafu mtanikumbuka.
Aisee
 
Lissu na utu uzima wake bado anamwogopa sana Dogo Makonda. Nilitegemea Lissu atuambie sera za CDM na, pia CDM itaondoa VIP kukatika kwa umeme, matatizo ya sukari. Lakin sera, ya Lissu ni Makonda. Kutembea kote huko barabarani unaenda kumwongelea Dogo Makonda?? This is nonsense. We have a long way to go.
 
Asimwogope we unadhani Uhai unanunuliwa Kiwandani?
 
Lissu na utu uzima wake bado anamwogopa sana Dogo Makonda. Nilitegemea Lissu atuambie sera za CDM na, pia CDM itaondoa VIP kukatika kwa umeme, matatizo ya sukari. Lakin sera, ya Lissu ni Makonda. Kutembea kote huko barabarani unaenda kumwongelea Dogo Makonda?? This is nonsense. We have a long way to go.
Jambazi makonda AKA bashite haliogopeki na LISU pekee linaogopeka hata na wewe
 
Lissu toka, atwange risasi amekuwa poyoyo tu. Yaan dogo kama Makonda nae, anawanyima usingiz? I remembered in the election of Tanzania in 1995 Mrema didn't discuss his party policy, instead he talked irrelevant issues.
 
Back
Top Bottom