Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM kumejaa matapeli tupuKama Makonda alimtapeli GSM kwa kutumia jina la rais kwa mujibu wa Lissu je Makonda kama Mwenezi wa CCM anaeneza nini kwa niaba ya CCM?
Lissu kama Mwanasheria tunaamini hakukurupuka kumuhusisha makonda na utapeli. Otherwise makonda akanushe tena kwa kupitia mahakama.
Vinginevyo Makonda ni kama wale matapeli wanaowatapeli wananchi KWA majina ya viongozi!
CCM jitengeni na Makonda ni mchafu mtanikumbuka.