Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Hiyo nayo ni ajenda ya watu wenye akili timamu kujadili? Petty issues!
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Hilo linalozungumziwa ni kati ya hayo matatizo ya system na yenye tija, ongeza uelewa
 
Ifike wakati Lisu aachane na Makonda sio level zake japo ana visa na mikasa nae.
Lisu ni zaidi ya Makonda, aachane nae, asimzungumzie sana huyo jamaa, anampa airtime sana, hizo kujibizana ndo ccm wanataka ndio maana wakamuweka Makonda front.
 
Yaani kirahisi rahisi tu Makonda anaenda kwa huyo GSM anamwambia kwamba Rais anataka huyo GSM amjengee nyumba, naye huyo GSM kweli anajenga nyumba halafu baadaye ndo anamtafuta Rais na kumwambia ‘mheshimiwa Rais nyumba yako iko tayari’, halafu Magufuli anashangaa ni nyumba gani tena hiyo!!

Hizi stori za Lissu bana!

Tokea adanganye kipindi kile cha msiba wa Magufuli kuhusu kufa kwa mlinzi wa Magufuli, yote asemayo sasa huwa nayatilia shaka sana.
Hata mimi mantiki siioni Magufuli ajengewe nyumba na GSM hapa Dar?! Ina maana Magufuli alikuwa hana uwezo wa kujenga nyumba hapa Dar mpaka akaokoteze GSM kumjengea nyumba?

Je ni kweli mtu mzima na mfanyabiashara mkubwa kama GSM aambiwe tu maneno ayafanyie kazi bila kuwa na uhakika kuwa taarifa hizi ni za Rais?

Kwangu mimi naamini Makonda na GSM walizurumiana huko kwenye kazi zao chafu maana GSM alikuwa anafanya mambo yake ya kibiashara kupitia viongozi so ni rahisi kumtumia Makonda kama mkuu wa mkoa kufanikisha mambo yake!

Baada ya Magufuli kufariki GSM akaamua kuchukua nyumba kwa kujua kuwa Makonda hana madaraka tena na Magufuli ashafariki na pia team Kikwete ishachukua hatamu!

Hizo porojo za Lisu hazina mantiki kwa mtu yeyote smart mwenye uwezo wa kudadavua mambo!

Lisu ni mtu wa maneno ya kuokoteza na tukumbuke huyu alishawahi kudai mlinzi wa Magufuli kafariki kumbe uongo, mara nyumbani kwa Magufuli kuna mamilioni ya dola kitu ambacho hakikuweza kudhibitisha!

Kwa hili la GSM sidhani kama lina ukweli kama alivyoeleza Lisu japo mgogoro upo kati ya GSM na Makonda!
 
Lakini Lissu kafanya vizuri kuyaanika hadharani.
Kama habari hizo ni kweli basi kuna mushkheli katika CCM ngazi ya taifa,vinginevyo Makonda nae anajua madudu ya wakubwa hao,labda by comparison Makonda yake ni kiduchu!!!
 
Asante nitaenda, ila naninyi nendeni ufipa mfatilie ruzuka anazokula mbowe na kundi lake.
Hivi ale ruzuku TAKUKURU Wasishughulikie? Ukiandika humu tumia akili tupo wasomi wengi wenye akili zilizotulia. Simpendi Mbowe lkn kuna mambo ukiandika humu akili haikubali
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Watu wanaoleta matatizo hayo wakiongelewa maana yake TAYARI MATATIZO YAMEONGELEWA.

Huenda wewe Ni miongoni mwa wanaokula na kuvimbiwa kwa mfumo wa kifisadi,Akizungumzwa MTU wa mrego ule ule kama wa kwako hatutegemei UTAFURAHIA.
 
Kama habari hizo ni kweli basi kuna mushkheli katika CCM ngazi ya taifa,vinginevyo Makonda nae anajua madudu ya wakubwa hao,labda by comparison Makonda yake ni kiduchu!!!
CCM wametengeneza KASUMBA ambayo mimi naiona ni ya KITOTO sana wanajifanya kutengeneza muonekano kuwa Wapinzani ni MAADUI wa NCHI huu ni Mkakati wa KIJINGA sana.

Hebu fikiria kwenye MIND ya layman ambaye ANAAMINI kila PROPAGANDA na CCM wamekuwa Wakiwa Promote wale wote wanaowaumiza WAPINZANI.

CCM hawawezi kupigana na WAKATI na ili waendelee kutawala ni bora waje na mikakati kama SERIKALI YA MSETO au SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA au WAKUBALI KUSHINDWA.

HIZI PROPAGANDA ZAO ZA 1935 ZITAKUJA KUTULETEA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.

HIVI HIKI CHAMA HAKINA VISIONARIES?
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Makosa ya jinai yanayohusu unyangaji na uporaji sio matatizo kwa wananchi? Hao wananchi wanaolala kudhulumiwa ardhi na mali wanatokeo wapi. Umefikiria kiduanzi
 
Muda wa kujadiri ruzuku wanazotafuna Mbowe na kundi lake haupo, ila muda wa kumjadili makonda upo.
Ya CHADEMA na ile ya CCM zipi ni nyingi zaidi? Zipi zinahitaji kujadiliwa zaidi?

Bila shaka za CCM ambazo ni mabilioni ndizo zinahitaji kujadiliwa kuliko vijisenti vya CHADEMA..
 
T
CCM wametengeneza KASUMBA ambayo mimi naiona ni ya KITOTO sana wanajifanya kutengeneza muonekano kuwa Wapinzani ni MAADUI wa NCHI huu ni Mkakati wa KIJINGA sana.

Hebu fikiria kwenye MIND ya layman ambaye ANAAMINI kila PROPAGANDA na CCM wamekuwa Wakiwa Promote wale wote wanaowaumiza WAPINZANI.

CCM hawawezi kupigana na WAKATI na ili waendelee kutawala ni bora waje na mikakati kama SERIKALI YA MSETO au SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA au WAKUBALI KUSHINDWA.

HIZI PROPAGANDA ZAO ZA 1935 ZITAKUJA KUTULETEA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.

HIVI HIKI CHAMA HAKINA VISIONARIES?
Tutaelekea huko very soon Mkuu.
Enzi za AI (Artificial Intelligence)
zimewasili.
 
T

Tutaelekea huko very soon Mkuu.
Enzi za AI (Artificial Intelligence)
zimewasili.
Sisi WAPINZANI na wao CCM lengo letu ni kulijenga hili Taifa letu SOTE hakuna haja ya kulibomoa.

Mungu libariki Taifa letu.
 
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
Halafu Samia kalipa usemaji wa CCM. Mambo ya ajabu sana
 
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
DAB hamuwezi AL kwenye mdahalo ni kama Simba na Manchester United
 
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
GSM NI RAIA FEKI WANAO MILIKI KIKUNDI CHA RAIA FEKI KUAKIKISHA WANAIMILIKI SERIKALI KUWA MALI YAO BINAFSI ....GSM NI JIZI LA TAIFA.....MBONA L8SSU ASWMI CHOCHOTE KUHUSU GSM ?kama MAKONDA ALIFANYA HIVYO NI SAWA KABISA MAANA NI HALALI KUSAMBALATISHA MAFISADI KWA NJIA YOYOTE.
 
Back
Top Bottom