Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
CHADEMA MKISIKIA HABARI ZA KIMBEA MBEA NAMNA HII HUWA MNAPANDISHA MORI.
 
Kenge ww
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
 
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
Duuh kumbe?
 
Matatizo yote unayoyaona ama yanasababishwa au kuchangiwa na watu. Kuongelea matatizo na kuwaacha wanaosababisha hatutatui tatizo.

Kama Makonda ni muuaji na mwizi, tuhakikishe anakamatwa na kufikishwa mahakamani, na anaadhibiwa sawasawa na uovu wake.

Makonda is a criminal. His right place is in the prison. That day must come.
 
Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.
Enhe
Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
Aha!

In maana, mambo mengi sana ambayo CHADEMA na mawakala wa Mafisadi, walikuwa wanayajua kwamba wapo watu waliokuwa wanamchafua Hayat Rais, ila kwa sababu walikuwa wanayataka na kusaka madaraka hayo wenyewe, waligota kutoka na kusema Ukweli wanao ujua, wakabaki kupika majungu!

Itoshe, haiwezekani ikawa ni ukweli kwamba awamu ya 5(Magufuli alihusika) yaani ilikuwa ya kifisadi-unless unasema wapo walaghai waliokuwa wakitumia mwanya(watu wachache)- kama teyari T.L ameshasema Makonda alidanganya.
 
Alijua alifanya utapeli ndio maana hakutaka kesi mahakamani, natamani siku moja Lisu na makonda wakutanishwe kwenye mjadala wa wazi kabisa inawezekana siku hiyo tukajua mengi yaliyofichwa
 
Lissu akiwa kama mwana sheria, anayoyasema ni ya kweli kuhusu Makonda? Did he carry research for that?
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Tatizo gani Chadema wameacha kuliongelea? Maji? Umeme? Ufisadi? Mauaji? Utekaji?
 
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
View attachment 2919153
Ilikuwa ni awamu katili kupita kiasi
 
Back
Top Bottom