Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda siku hizi ni zaidi ya makamu wa rais.status ya Lisu sio ya kujibizana na Makonda,kwanini Lisu anashindwa kuiga mfano kwa Mbowe kwenye speech out.
Makonda ajibizane na kina Mdude sio Lisu au Mbowe.
Ukiona mtu anarudia matukio mabaya yawe yake au ya wengine basi huyo mtu ana depression mbaya sana hata kujiuwa anawezaKwanini asilete sera ataifanyia nini Tanzania akipata nafasi..
Kuchwa lawama anakomaa na mambo yaliyopita
Ruzuku sio hisani ni takwa la kikatiba mjomba.Muda wa kujadiri ruzuku wanazotafuna Mbowe na kundi lake haupo, ila muda wa kumjadili makonda upo.
CCM waliojua nyie ni wajinga na Wajinga wape cheo na Sasa mkapewa Makonda mnaruka nae na kuacha mengine …endeleeni kumpa air time mna mnufaisha zaidi…! Uko chadema mwenye akili kidogo ni MboweHapa ndio niliona akili ya Sa100 ni veepee. Mtu kama huyu unampa cheo? Au kwa kuwa ni Chama cha Majambazi?
Kuna watu humu hata kuwajibu nao ni ujinga. Hivi wewe Lissu yuko kwenye mahojiano na katupiwa swali hilo ulitaka aseme msiniulize?status ya Lisu sio ya kujibizana na Makonda,kwanini Lisu anashindwa kuiga mfano kwa Mbowe kwenye speech out.
Makonda ajibizane na kina Mdude sio Lisu au Mbowe.
Mbowe ni Mwanasiasa na Lissu ni mwanaharakati hurustatus ya Lisu sio ya kujibizana na Makonda,kwanini Lisu anashindwa kuiga mfano kwa Mbowe kwenye speech out.
Makonda ajibizane na kina Mdude sio Lisu au Mbowe.
Katiba Mpya vipi ?Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Makonda akikanusha kwa ithibati thabiti narudi CCMKama Makonda alimtapeli GSM kwa kutumia jina la rais kwa mujibu wa Lissu je Makonda kama Mwenezi wa CCM anaeneza nini kwa niaba ya CCM?
Lissu kama Mwanasheria tunaamini hakukurupuka kumuhusisha makonda na utapeli. Otherwise makonda akanushe tena kwa kupitia mahakama.
Vinginevyo Makonda ni kama wale matapeli wanaowatapeli wananchi KWA majina ya viongozi!
CCM jitengeni na Makonda ni mchafu mtanikumbuka.
Na yeye Lissu ameamua kula naye sahani moja. Wakimkingia makonda kifua wanachafuka, wakimuacha Ni double standard -[emoji419][emoji375]Nia ya Lissu Ni kutaka kuona Makonda kapelekwa mahakamani Na vyombo husika Kwa madhambi yake mengi anayotuhumiwa lakini vyombo vyenye dhamana havitaki au vinamuogopa... Na yeye Lissu ameamua kula naye sahani moja. Wakimkingia makonda kifua wanachafuka, wakimuacha Ni double standard - Mbona Sabaya alifungwa, wakiendelea kukaa naye humo ccm, maana yake tuhuma zote hata wao Ni complicity. Mchale kila corner. Siasa Ni mchezo wa Chess Na mahesabu ya calculus
Lisu huropoka chochote kinachokuja kichwani mwake
Mimi sio shabiki wa mambo ya kisiasa hapa JF ila unataka Makonda akanushe tena kwa kupitia Mahakama kwa tuhuma ambazo zimetolewa kwenye media!Kama Makonda alimtapeli GSM kwa kutumia jina la rais kwa mujibu wa Lissu je Makonda kama Mwenezi wa CCM anaeneza nini kwa niaba ya CCM?
Lissu kama Mwanasheria tunaamini hakukurupuka kumuhusisha makonda na utapeli. Otherwise Makonda akanushe tena kwa kupitia mahakama.
Vinginevyo Makonda ni kama wale matapeli wanaowatapeli wananchi KWA majina ya viongozi!
CCM jitengeni na Makonda ni mchafu mtanikumbuka.