Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Ingekua vizuri siku Lissu na Makonda wskakutanishwa studio lakini polisi wakae katikati yao maana lolote laweza tokea
Lissu hawezi kukaa na Makonda ambaye hata chuo pale ushirika alikuwa anabebwa tu.kilaza umkutanishe na genius kweli!
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Na hayo matatizo yanasabishwa na wanyama?

Amandla...
 
Lissu apunguze kuongelea wajinga wajinga.

Afocus na mambo ya kitaifa.
 
Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?[emoji35]
Na wewe kaongee hayo mambo ambayo unaona yanaikabili jamii, nyie akili zenu tegemezi mnatarajia serikali itawaletea pesa mfukuoni. Unataka Chadema ndo wakuletee maendeleo? Serikali hailete maendeleo yako bali ina kutengenezea miundombinu ya wewe ufanye kazi uendelee
 
Makonda,dotto james na DPP wametapeli sana nyumba za wahindi masaki...dpp alichukua nyumba mitaa ya slipway ya muhindi kwa kumpa kesi ....muhindi amefungua kesi kudai nyumba yake
 
Ingekua vizuri siku Lissu na Makonda wskakutanishwa studio lakini polisi wakae katikati yao maana lolote laweza tokea
Sio kwamba Lissu alifyata mkia alipoombwa wakutanishwe na Makonda au kumbukumbu zangu ndo hazipo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…