Balile kila siku kuvaa shati lake la kitenge limeandikwa matakatifu Antonio wa Padua, lakini anatuabisha kabisa wakatoliki huyu jamaa
Ni mtumish mzuri sana huyu ndugu sema uchawa tuDuh! Kumbe Balile ni mkatoliki, tena mwenye kulitangaza jina la Mtakatifu Anton wa Padua!! Mie namsamehe kwa sababu ya heshima la huyo Mtakatifu wa Mungu. Namsihi sana Balile, asiishie kuvaa vazi linalotangaza mtakatifu huyo wa Mungu, bali aigemaisha ya huyo mtakatifu.
Balile na Paschal ni makada wa CCM waliojificha kwenye mwanvuli wa Uandishi wa habari, kuwashirikisha hao kwenye jambo la demokrasia na mabadiliko ni kupoteza muda wako tu.
Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano.
Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya kusikiliza hoja za Mh. Lissu.
Soma, Pia: Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?
Kutokana na Balile kuongoza vibaya mkutano huo umepelekea wahariri wengi kukosa muda wa kuuliza maswali.
View attachment 3255988
Kada wa CCM yule, yuko kwenye vyombo vya habari kwaajili ya kupotosha, kufifisha harakati za mageuzi na kutetea maslahi ya CCM na kujipatia ujira wake.Huwa simuelewi Balile. Ni kanjanja fulani
Ndio naimalizia hivi hapa muda huu interview.Ila Lissu ni mtata mwenye akili nyingi. Samia ili akutane hivi inabidi awapange kwanza, lakini yeye anakuja kavu kavu anawanyoosha.
Retired
Wewe huenda una sonona kali sana au kichwa chako hakiko freshi bila ya wewe mwenyewe kijitambua na wanaokuzunguka wanakuogopa kukupasha ukweli.Hakuna mtu msafi, mwadilifu na mkweli wa nafsi, anaweza kwenda CCM.
Namheshimu sana Mwalimu Nyerere, lakini CCM ya sasa, ni wakala wa shetani. Hakuna mtu mwema anaweza kujiunga na chama cha wauaji, waporaji wa uchaguzi, mafisadi, watekaji, na wauazaji wa rasilimali za nchi kwa wageni iliwa ni maandalizi ya waarabu kupora pwani yote ya bahari na kuifanya mali ya Zanzibar.
Jamaa analeta porojo kwenye mambo ya kikatiba na kisheria.Balile ni kada wa ccm, kala za uso
lissuMapenzi kwa CCM au kwa Lissu
Ilikuwaje wakaruhusu chawa kuongoza mkutano, hakukuwa na mtu mwenye hekima, asiye na upande?Lissu amdhalilisha Balile kwa kumwambia "Nonsense"