Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Balile kila siku kuvaa shati lake la kitenge limeandikwa matakatifu Antonio wa Padua, lakini anatuabisha kabisa wakatoliki huyu jamaa
Duh! Kumbe Balile ni mkatoliki, tena mwenye kulitangaza jina la Mtakatifu Anton wa Padua!! Mie namsamehe kwa sababu ya heshima la huyo Mtakatifu wa Mungu. Namsihi sana Balile, asiishie kuvaa vazi linalotangaza mtakatifu huyo wa Mungu, bali aigemaisha ya huyo mtakatifu.