Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Ile idadi haiedhibitiki kukitokea Fuji.
 
Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Mwaka 2015 hakukuwa na unyanyasaji kwa wapinzani watumishi wa umma walikuwa wakilipwa nyongeza za mishahara lakini sasa 2020 kuna mabaya mengi kupitiliza utawala huu umewatesa wengi kwa njia mbalimbali
 
Hii ni Afrika..........utashangazwa
 
Tawala za huko nyuma hazikuwa na unyanyasaji ukandamizaji wa Demokrasia kama utawala huu wa jiwe
Pamoja na hilo ila kupewa nchi ni pagumu kwa kweli.kwanza kabla ya matokeo mtu atawekwa chini ya ulinzi alafu matokeo anasomwa mtu mwingine anaapishwa alafu mtu unachiwa na katiba inasema rais akishaapishwa hairuhisiwi ashtakiwe hadi amalize mda wake sasa hapo kuna nini tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…