inauma lakini vumilia tuu mkuu, kumbuka hapo hakuna cha wasanii wala waigizaji!.Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inauma lakini vumilia tuu mkuu, kumbuka hapo hakuna cha wasanii wala waigizaji!.Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter msigwa alipata kusema maana ya insanity.
...Yani bora wangemuachaga tu wamsumbue na makesi na kumuweka ndani kila mara pengine ingesaidia... Yani huyu lissu wa sasa ni nafuu yule wa kabla ya september 7'17.!Aliyetoa wazo la kumpiga risasi alikosea Sana....ona matokeo yake sasa.
Kesi hazikuweza...mawe yamefifia....risasi kapanchi....ngoja tuone NEC wanasemaje....Yani bora wangemuachaga tu wamsumbue na makesi na kumuweka ndani kila mara pengine ingesaidia... Yani huyu lissu wa sasa ni nafuu yule wa kabla ya september 7'17.!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anakera sana, wanatamani awe bubuJamani Lissu ana kera. Anakera bila kuvunja sheria huyu ndiyo Mgombea tulimsubiri kwa miaka nenda rudi.
huyu hapaUpinzani ulishakufa nchini.
Popepole (2017)
Mwaka huu ka Magu mpaka kajambe cheche jukwaani!Jamani Lissu ana kera. Anakera bila kuvunja sheria huyu ndiyo Mgombea tulimsubiri kwa miaka nenda rudi.
Kapumbavu hako, kakijichanganya Siku hiyo nitakappiga Makofi mimi!huyu hapa
Lakini tuamini asiyekubali kushindwa si mshindani.
Kuta zinaibwaChadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter Msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Kipindi cha Lowasa watu walikuwa wamenona wese la JK, walikuwa watulivu....huyu kakausha watu kwa hii miaka Mitano.....ogopa Sana kupambana na masikini asiyekuwa na cha kupoteza.Jamani tusijifariji kuwa hata Lowasa na Mrema walikuwa wanajaza watu,zama zinabadilika saiv ukiangalia kwa haraka haraka tu utakuta 50%yawatu hapo ni form four ambao tayari uelewa wa mambo wanaomkubwa sana.na huu muda kampeni bado ijulikane tu kiwa CCM ilikosea kuzuia watu kujieleza na kufanya siasa
Kabisa he's unbeatenAnatekekeza NO HATE NO FEAR kwa vitendo
Hayo marisasi yamesaidia nini kama si kumuongezea spidi..Anapitiliza ndio maana wanamshona kwa marisasi.
Pamoja na hilo ila kupewa nchi ni pagumu kwa kweli.kwanza kabla ya matokeo mtu atawekwa chini ya ulinzi alafu matokeo anasomwa mtu mwingine anaapishwa alafu mtu unachiwa na katiba inasema rais akishaapishwa hairuhisiwi ashtakiwe hadi amalize mda wake sasa hapo kuna nini tena
Sio kweli huwa anamuita Rais Magufuli. Hata hivyo hakuna kosa hata ukimwita Magufuli kwani ndio jina lake la heshima la kuzaliwa.Huyu Jamaa hajawai muita Mkulu Mheshimiwa,, Yeye huwa anataja jina lake kama mtu fulani tu wa kijiweni..
Confidence ya hali ya Juu sana hio.. Niyeye pekee anaeweza kuyasema hayo
Wakati wa kampeni arudi palepale kuhutubia kuomba kura. Kisha linganisha ukubwa wa umati huo na wa leo baadaye na kura atakazopata kwenye uchaguzi. Na hapo ndipo utawajua watanzania kuwa walikuwa 'wanamchora'!