Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter msigwa alipata kusema maana ya insanity.

Ilishinda au ilitangazwa washindi, kisha wagombea wake wakamuachia Mungu?
 
Jamani Lissu ana kera. Anakera bila kuvunja sheria huyu ndiyo Mgombea tulimsubiri kwa miaka nenda rudi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anakera sana, wanatamani awe bubu
 
Huyu Jamaa hajawai muita Mkulu Mheshimiwa,, Yeye huwa anataja jina lake kama mtu fulani tu wa kijiweni..

Confidence ya hali ya Juu sana hio.. Niyeye pekee anaeweza kuyasema hayo
 
Jamani tusijifariji kuwa hata Lowasa na Mrema walikuwa wanajaza watu,zama zinabadilika saiv ukiangalia kwa haraka haraka tu utakuta 50%yawatu hapo ni form four ambao tayari uelewa wa mambo wanaomkubwa sana.na huu muda kampeni bado ijulikane tu kiwa CCM ilikosea kuzuia watu kujieleza na kufanya siasa
 
Nyie jisifuni bila kumsifia anae wakimbiza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] chadema yote haya tunajua mnajipa moyo tu ila ukwel mnaujua

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Jamani tusijifariji kuwa hata Lowasa na Mrema walikuwa wanajaza watu,zama zinabadilika saiv ukiangalia kwa haraka haraka tu utakuta 50%yawatu hapo ni form four ambao tayari uelewa wa mambo wanaomkubwa sana.na huu muda kampeni bado ijulikane tu kiwa CCM ilikosea kuzuia watu kujieleza na kufanya siasa
Kipindi cha Lowasa watu walikuwa wamenona wese la JK, walikuwa watulivu....huyu kakausha watu kwa hii miaka Mitano.....ogopa Sana kupambana na masikini asiyekuwa na cha kupoteza.
 
Idadi ya wagombea wa CCM inashinda hao wanayo vumisha, Maelfu wampokea Lissu. Lakini kitendo cha CCM kujivunia jezi zao mtaani ni ishara nyingine awamu ya 5 kazi ccm wameifanya. Odinga hapo Kenya kuna picha ya mtandaoni kavaa shati la jezi ya CCM.

Lissu anajitahidi sana kuongea maneno ya kukera na kuudhi dhidi ya Rais Magufili, lakini kasahau JPM ni master of human psychology, anamuangalia kamchunia. Lissu anabakia kuteseka nini kinachopikwa. Hanabudi kusubiri mpaka muda ukifika atapakuliwa.

Lissu anamadhaifu mengi mno katika hizi kauli zake za upayukaji na ndio maana ukitulia na ukawa makini kumtuliza ni rahisi sana.

Lakini ni muhimu wakati ukifika Lissu na umeshafika ni sasa aambiwe ukweli, wala msimdanganye hamna namna ataweza shinda uchaguzi huu. Hilo haliko, asiachiwe tu uwanja na kuangaliwa tu akiulaghai umma na mataifa mengine ya nje kuwa anakubalija na kesha shinda. Wakati wa kura akishashindwa kihalali ataleta matatizo yale ambayo wameshapanga na mabeberu ya kuitisha maandamano ya kuhamasisha uasi.

Kwangu mimi naona si sawa huyu aachiwe kuongea kila anachojisikia kuongea na kila anachotaka kuwaaminisha wale wanao msikiliza hata kama ni uongo na upotoshaji. Uongo ukaachwa kukanushwa na ukaendelea kuongelewa kwa kurudiwa rudiwa hugeuka na kuonekana ndio ukweli huo. Hivyo ni vizuri mbinu za kukabiliana na huyu anaye ongea kauli za kuandaa waasi watarajiwa akabiliwe mapema kabla ya kuanza kukumbuka shuka wakati kumesha kucha. Makosa haya yalifanyika awamu iliyopita kukatokea mapinduzi ya kutumia pambio la chama ingawa baadaye yalizimwa. Lissu si wakumchekea.
 
Pamoja na hilo ila kupewa nchi ni pagumu kwa kweli.kwanza kabla ya matokeo mtu atawekwa chini ya ulinzi alafu matokeo anasomwa mtu mwingine anaapishwa alafu mtu unachiwa na katiba inasema rais akishaapishwa hairuhisiwi ashtakiwe hadi amalize mda wake sasa hapo kuna nini tena

Ndiyo nchi inakuwa imeingizwa kwenye machafuko rasmi hapo sasa hakuna atakayejuwa huko mbele nini kitatokea maana hakuna sheria inayosema wananchi wamvhague kiongozi wanayempenda halafu awekwe chini ya ulinzi na kutangazwa asiyeshinda na kuapishwa hara ati kwakuwa hakuna kinachoweza kufanyika. Ukumbuke kwamba hata hizo sheria zimetungwa kwa ridhaa ya wananchi na wananchi ndiyo wenye mamlaka ya mwisho juu ya jambo lolote wananchi wanaweza kuikataa jambo lolote kwakuwa wao ndiyo sauti ya mwisho ndiyo maana inaitwa nguvu ya umma hiyo inana nguvu kuliko hata dola usiombe itumike hata siku moja.
 
Huyu Jamaa hajawai muita Mkulu Mheshimiwa,, Yeye huwa anataja jina lake kama mtu fulani tu wa kijiweni..

Confidence ya hali ya Juu sana hio.. Niyeye pekee anaeweza kuyasema hayo
Sio kweli huwa anamuita Rais Magufuli. Hata hivyo hakuna kosa hata ukimwita Magufuli kwani ndio jina lake la heshima la kuzaliwa.
 
Wakati wa kampeni arudi palepale kuhutubia kuomba kura. Kisha linganisha ukubwa wa umati huo na wa leo baadaye na kura atakazopata kwenye uchaguzi. Na hapo ndipo utawajua watanzania kuwa walikuwa 'wanamchora'!

Ule wizi wa kura wa miaka yote mwaka huu hakuna miaka yote walikuwa wanaina kura na wananchi hakuna kipindi cha uchaguzi walikuwa wametoka kunyanyasika na kukosa uhuru kama sasa hivi na hii inatoa hamasa zaidi ya kuona umuhimu wa kuleta mabadiliko ya uongozi wa nchi yao
 
Back
Top Bottom