Akipata umma uliovurugwa kama huo kwa mikoa 15 tu, Belarusi watakuja kujifunza Bongo.Ile idadi haiedhibitiki kukitokea Fuji.
Sema walitangazwaChadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Kule kwenye vyombo vya habari kuko bize kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu yesu wa ccm.
ccm tokea 1995 wanaiba kura hakuna Mtanzania anayejielewa ataipigia ccm kuraCcm ilishinda au mliiba kura za lowasa? Sasa hivi mkiiba zitawatoke matakoni
Mikoa 15 mingi. Unajua watu 2m wakiandamana nchi zima ni tatizo sana. M2 tu. That's why Tl hakutakiwa kugombea. Bm ni mwelewa.Akipata umma uliovurugwa kama huo kwa mikoa 15 tu, Belarusi watakuja kujifunza Bongo.
Hahaaa he has nothing to fear jamaa ana guts sijawahi pata kuona
Tume huru ya uchaguzi ipo? au unaisemea ile tume unayoundwa na kada wa ccm?Sawa mkuu. Nakusihi. Tuwe watulivu siku ya kupiga kura. Lakini tuamini asiyekubali kushindwa si mshindani. Wote sisi ni watanzania na watakao chaguliwa ni watanzania wenzetu. Tuwe watulivu na tuyapokee matokeo kwa njia ya amani. Atakaye fanya uvunjifu wa amani, atakutana na wahusika wa hizo mambo.
Kwani Malawi si walishangazwa pia?Hii ni Afrika..........utashangazwa
Asante sana.Nayo ni ajenda ya chama.
HONGERA KWA CHAMA NA KWAKE PIA
Mainstream ni utopolo.Kule kwenye vyombo vya habari kuko bize kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu yesu wa ccm.
Mungu malaika watashuka watazuia ushetani wote wa ccm watashikwa na Ganzi kubwa watajikuta wamekubali kakaa pembeni na upinzani kuingia ikulu kuleta Uhuru toka kwa Mkoloni mweusi tokea chatoPamoja na hilo ila kupewa nchi ni pagumu kwa kweli.kwanza kabla ya matokeo mtu atawekwa chini ya ulinzi alafu matokeo anasomwa mtu mwingine anaapishwa alafu mtu unachiwa na katiba inasema rais akishaapishwa hairuhisiwi ashtakiwe hadi amalize mda wake sasa hapo kuna nini tena
Wakati wa kampeni arudi palepale kuhutubia kuomba kura. Kisha linganisha ukubwa wa umati huo na wa leo baadaye na kura atakazopata kwenye uchaguzi. Na hapo ndipo utawajua watanzania kuwa walikuwa 'wanamchora'!Duuuh! Hiyo nyomi sio mchezo asee
Si kila mtu ataandamana kwenye kila mkoa...lakini wakitokea watu laki na nusu kila mkoa kazi kwisha....Lisu bado ni hatari inayotembea.Mikoa 15 mingi. Unajua watu 2m wakiandamana nchi zima ni tatizo sana. M2 tu. That's why Tl hakutakiwa kugombea. Bm ni mwelewa.
Hakika akili ni nywele.Wakati wa kampeni arudi palepale kuhutubia kuomba kura. Kisha linganisha ukubwa wa umati huo na wa leo baadaye na kura atakazopata kwenye uchaguzi. Na hapo ndipo utawajua watanzania kuwa walikuwa 'wanamchora'!
Mwaka tulioambiwa Chadema kinakufa wakati jeneza anapanda CCM😂Kazi ipo mwaka huu
Asante sana.View attachment 1542510