Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Sawa mkuu. Nakusihi. Tuwe watulivu siku ya kupiga kura. Lakini tuamini asiyekubali kushindwa si mshindani. Wote sisi ni watanzania na watakao chaguliwa ni watanzania wenzetu. Tuwe watulivu na tuyapokee matokeo kwa njia ya amani. Atakaye fanya uvunjifu wa amani, atakutana na wahusika wa hizo mambo.
Tume huru ya uchaguzi ipo? au unaisemea ile tume unayoundwa na kada wa ccm?
 
Nayo ni ajenda ya chama.

Hongera kwa chama na kwake pia
 
Nayo ni ajenda ya chama.

HONGERA KWA CHAMA NA KWAKE PIA
Asante sana.
JamiiForums-561822830_720x720.jpg
 
Pamoja na hilo ila kupewa nchi ni pagumu kwa kweli.kwanza kabla ya matokeo mtu atawekwa chini ya ulinzi alafu matokeo anasomwa mtu mwingine anaapishwa alafu mtu unachiwa na katiba inasema rais akishaapishwa hairuhisiwi ashtakiwe hadi amalize mda wake sasa hapo kuna nini tena
Mungu malaika watashuka watazuia ushetani wote wa ccm watashikwa na Ganzi kubwa watajikuta wamekubali kakaa pembeni na upinzani kuingia ikulu kuleta Uhuru toka kwa Mkoloni mweusi tokea chato
 
Duuuh! Hiyo nyomi sio mchezo asee
Wakati wa kampeni arudi palepale kuhutubia kuomba kura. Kisha linganisha ukubwa wa umati huo na wa leo baadaye na kura atakazopata kwenye uchaguzi. Na hapo ndipo utawajua watanzania kuwa walikuwa 'wanamchora'!
 
Mikoa 15 mingi. Unajua watu 2m wakiandamana nchi zima ni tatizo sana. M2 tu. That's why Tl hakutakiwa kugombea. Bm ni mwelewa.
Si kila mtu ataandamana kwenye kila mkoa...lakini wakitokea watu laki na nusu kila mkoa kazi kwisha....Lisu bado ni hatari inayotembea.
 
Wakati wa kampeni arudi palepale kuhutubia kuomba kura. Kisha linganisha ukubwa wa umati huo na wa leo baadaye na kura atakazopata kwenye uchaguzi. Na hapo ndipo utawajua watanzania kuwa walikuwa 'wanamchora'!
Hakika akili ni nywele.
JamiiForums39661901.jpg
 
Back
Top Bottom