Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Ni kweli kila nyakati ni tofauti na ukumbuke influence ya matokeo ya mzee wa Lupaso(R.I.P) in those years
Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter Msigwa alipata kusema maana ya insanity.
 
Usiwe lodilofa// ukumbuke ipo pressure kutoka jumuiya za kimataifa
 
Chadema kumbukeni mafuriko ya mzee Slaa na mzee lowassa. Lakini ccm ilishinda. Bungeni mhe Peter Msigwa alipata kusema maana ya insanity.
Labda wengi hawakuwepo tuwakumbushe


Na wakumbuke alihamia Cdm na mtaji wa wapiga kura, kamati kuu, wajumbe, pesa za kutosha....
 
Labda wengi hawakuwepo tuwakumbushe
View attachment 1542577

Na wakumbuke alihamia Cdm na mtaji wa wapiga kura, kamati kuu, wajumbe, pesa za kutosha....
Kampeni bado, lowasa 2015 kura zilitosha tena sana, na ndiyo sababu ya jpm kuzuia shughuli za kisiasa maana alijua kabisa ikifika 2020 hata kuiba kura watashindwa sasa.
 
Kumbe hata nyinyi maccm, mshaanza kuona kuwa Tundu Lissu hakamatiki kwenye kampeni zake?

Tulieni dawa iingie vizuri
 
Lissu ni zawadi kutoka mbinguni,
Jiwe na kamati yake ya shetan roho zawauma sana, mtachonga viazi
 


πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒmkuu wana Ruzuku yakugawa ili nile hao?.

Nilimaanisha watawawezesha wajumbe wao kifedha ili wawahubirie kiurahisi vichakani huko juu ya umuhimu wa kumchagua LISSU.

MAANA CHADEMA WENGI WAO WANAAMINI WAPIGA KULA WAO WAPO MJINI na wa vijijini ni mahopeless mitaji ya CCM.

Yaani wanawekeza nguvu mjini alafu wanataka na kura za wavijijini.
 
Miwani ya huyo jamaa ni miwani ya macho ya kawaida? Naona iko tofauti sana na hii ya kwangu
 
Nilitaka nipite hiiviiii bila kuandika chochote kile. Umati nimeuelewa saaanaa km nilivyouelewa ule wa Lowasa. Ila mnapokwama wapinzani ni kupiga kura.. Kwa nn nasema kupiga kura, kwa sababu hapo utakuta waliojiandikisha kupiga kura ni 20% tuu ya nyomi lote uonalo... Pia vijijini ndani ndani hamuendi. Ccm wako kamili ktk kujiandikisha kupiga kura.

NAWAOMBA NDUGU ZANGU TAREHE YA KUPIGA KURA IKITANGAZWA TUTOKE KWA WINGI TUKAPIGE KURA, TUSIONGEE MITANDAONI TU.

MM NINA KAULI MBIU YANGU, MKONO UKAFANYE KAZI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…