Lissu ana uwezo wa kudai urithi wakati baba yake akiwa hai, familia ya Mzee Antipas ijihadhari

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Imagine mtu kaanza kujaza fomu za makamu Mwenyekiti mwaka jana, leo kaibukia kwenye uenyekiti, ni nini kinamsibu Lissu? Tamaa?
 
Tunatakiwa kuwa kama Marekani wanafanya kampeni muda wowote
 
Imagine mtu kaanza kujaza fomu za makamu Mwenyekiti mwaka jana, leo kaibukia kwenye uenyekiti, ni nini kinamsibu Lissu? Tamaa?
Ila Chawa wa MamaSamia2025 mna mtindio wa akili bila shaka...

Mashambulizi yenu siku zote yalikuwa kwa Freeman Mbowe mng'ang'ania madaraka na kwamba hakuwa na succession plan ya kurithisha uongozi wake...

Leo ameamua mwenyewe amwachie mtu mwingine aitwaye Tundu Lissu, ghafla Freeman Mbowe kawa mzuri tena...?

We know, Chawa na CCM kwa ujumla hamkutarajia kuwa uenyekiti wa CHADEMA ungeangukia kwa huyu mwamba aliyekwisha kushindikikana kwa kifo na mauti, kutekwa, kuhongeka na kila aina ya mbinu ovu za CCM juu ya ubinadamu...

Mtu mwenye ufahamu na maarifa mengi ambayo ni silaha kuu ya mapambano ktk ulimwengu huu wa uovu...

Mtu mwadilifu, mpenda haki na anayechukia dhuluma, mtu msema kweli hadharani na sio gizani...

Hili hamkurajia. Lakini ndiyo huyu, ndiye yeye....

Kwa heri...
 
Kama muda wa kurudisha fomu haujaisha unaweza kubadili mawazo na ukagombea nafasi nyingine.
 
Ukishaona thread ya Chiembe tu nitakuelewa kama ukiamua kuipotezea kama propaganda za siasa za majitaka.

Yani kama nakuwa Jaji kwenye kesi yako ya kuidharau thread na kuipotezea kabisa, halafu utetezi wako ukawa

"Mheshimiwa Jaji lakini thread imeanzishwa na Chiembe, anajulikana kuanzisha thead za ovyo za propaganda za siasa majitaka, nikaamua kuipotezea tu"

Kwa kuangalia ushajidi wa threads za JF, nai dismiss case hapo hapo na naamuru gharama za kupotrzewa muda na kuendesha kesi ulipwe.
 
Timu ya mfalme nyuzi kila baada ya masaa. Onyesheni hiyo demokrasia mnayoililia kila siku kwa vitendo ili tuweze kuwaunga mkono.
 
Ukishaona thread ya Chiembe tu nitakuelewa kama ukiamua kuipotezea kama propaganda za siasa za majitaka.

Yani kama nakuwa Jaji kwenye kesi yako ya kuidharau thread na kuipotezea kabisa, halafu utetezi wako ukawa

"Mheshimiwa Jaji lakini thread imeanzishwa na Chiembe, anajulikana kuanzisha thead za ovyo za propaganda za siasa majitaka, nikaamua kuipotezea tu"

Kwa kuangalia ushajidi wa threads za JF, nai dismiss case hapo hapo na naamuru gharama za kupotrzewa muda na kuendesha kesi ulipwe.
Chiembe deserves a day in court
 
Ila Chawa wa MamaSamia2025 mna mtindio wa akili bila shaka...

Mashambulizi yenu siku zote yalikuwa kwa Freeman Mbowe mng'ang'ania madaraka na kwamba hakuwa na succession plan ya kurithisha uongozi wake...

Leo ameamua mwenyewe amwachie mtu mwingine aitwaye Tundu Lissu, ghafla Freeman Mbowe kawa mzuri tena...?

We know, Chawa na CCM kwa ujumla hamkutarajia kuwa uenyekiti wa CHADEMA ungeangukia kwa huyu mwamba aliyekwisha kushindikikana kwa kifo na mauti, kutekwa, kuhongeka na kila aina ya mbinu ovu za CCM juu ya ubinadamu...

Mtu mwenye ufahamu na maarifa mengi ambayo ni silaha kuu ya mapambano ktk ulimwengu huu wa uovu...

Mtu mwadilifu, mpenda haki na anayechukia dhuluma, mtu msema kweli hadharani na sio gizani...

Hili hamkurajia. Lakini ndiyo huyu, ndiye yeye....

Kwa heri...
Lissu sio mrithi wa Mbowe. Ni mtu mwenye tamaa na adui wa demokrasia. Mbowe hana mpango wowote wa kuachoa uenyekiti. Lissu ni kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA
 
Leo ccm ndio wanajadiliana ajenda ya Lissu ya kutaka kuwania uenyekiti hii ina maana wanampiga vita ili asigombee kwa sababu wanamuogopa. Na mtumie risasi sana na policcm bila ya hivyo hakuna wakujibu hoja zake endapo atawakabili hapo lumumba.
 
Lissu sio mrithi wa Mbowe. Ni mtu mwenye tamaa na adui wa demokrasia. Mbowe hana mpango wowote wa kuachoa uenyekiti. Lissu ni kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA
Eleza kwa uthibitisho usio na shaka ni kwa namna gani Tundu Lissu;

1. Si mrithi wa Mbowe na unadhani ni yupi ndiye..?

2. Ni mwenye tamaa ya madaraka...?

3. Ni adui wa demokrasia? Na ni demokrasia ipi unayoisema wewe zaidi ya hii anayoifuata na kuizingatia Tundu Lissu ya kufuata utaratibu wa kikatiba kugombea uongozi ndani ya chama..?

4. Ni kirusi ndani ya chama...?

##By the way nyie Chawa wa CCM na Samia si ndio siku zote mko mstari wa mbele kumshambulia Freeman Mbowe kuwa ni mroho wa madaraka ya "uenyekiti CHADEMA" kwa miaka 20, ameua demokrasia na kila aina ya takataka toka kwenu...?

Leo mmekuwaje tena wewe MamaSamia2025...?

Mbona mnaweweseka maana Freeman Mbowe na CHADEMA wamejibu maombi yenu CCM..?

Au haya sio majibu mliyotarajia na kuyataka...?

Ndiyo hivyo tena. Huyo ndiye Tundu Lissu na mwakani mwambieni Bi Kizimkazi wakutane na jukwaani na kwenye kinyang'anyiro cha u - Rais...!!
 
Lissu ni Makamu Mwenyekiti ndio msaidizi mkuu wa Mwenyekiti .
Hivyo urithi wa kutarajia kuwa Mwenyekiti ni Lissu,japo Mbowe hajatangaza rasmi kungatuka.
LAKINI haimkatazi mtu yeyote ndani ya chama kugombea uwenyekiti. Nafasi ya mchujo ipo kuendana na kanuni za chama.
Na ndio demokrasia ndani chama.
Lakini Secretariet ipo kwa wafia chama na sio tu wapendwa wanachama.
Chadema wana mtihani mgumu wa hesabu za viboma.
 
Back
Top Bottom