Uchaguzi 2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

Leo nimewapigia salute wanyairamba kwa kumsusia Jiwe
 
Akiishiwa ni faida kwenu unaleta umbea wa nini
 
JIWE PESA ANAYO KUNA ZILE ZA 1.5TRILION NA ZILE ZA NDEGE, KAMPENI KWAKE MURUA.
 
Ngoma inogele. Mwaka huu hata mabubu watasema.
 
Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?

Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Leo hii Jiwe kaanza kuonjeshwa shubiri ya kususiwa hapa singida
 
Jiwe kasusiwa leo singida
 
Nadhani ndo itakuwa furaha yenu wewe na Mtukufu Mfuga Tausi wa Chamwino. Achana maigizo ya kichawi.
 
vipi ambaye anamaliza muda mfupi baada ya hapo ni wanamziki tu.Campaign ni sayansi
 
Kama anaendesha kivivu si faida kwenu, mbona unawashwa ww shangingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…