Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaishiwa nguvu hasa baada ya kuona Jiwe leo alivyo susiwa pale ikungiyaaani umeishiwa nguvu za kuandika maana hakuna hata nukta
Akiishiwa ni faida kwenu unaleta umbea wa niniLisu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu ksbla ya kura
Kwa spidi hiyo hatanaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea Hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili,kifikra ,kisaikolojia na kipesa
Kampeni ya Uraisi tulimwambia sio lelemama au kwa kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a LELE Mother !!!!
Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni
Njoo hapa singida umuone kaka yako anavyo cheza ngoma ya Lissu, dadeeeki masikini ya MunguWenye Siasa zao wameingia yaani sisikii lissu wala chasema
Umechoka kama Jiwe alivyo chokaWeka wewe.
Hebu nisaidie unapoongea nukta huwa unaiwekaje mdomoni unanyonga mdomo kushoto au kulia au unawekaje?
Nasikia hata ndugu zenu wa Rwanda wamewasusia na sasa nguvu zao zimeelekezwa kenyaLisu oya changamsha miguu bado majimbo mengi yanakusubiri
Leo hii Jiwe kaanza kuonjeshwa shubiri ya kususiwa hapa singidaMagufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?
Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Lissu ndiye mpinzani wa kweli ktk nchi hiiKwa nini Lissu tu? Hakuna wagombea wengine unao wafuatilia!! Au ndiyo hofu imewajaa!!!
Jiwe kasusiwa leo singidaLissu ameshashindwa, maana anaonekana hajajiandaa na wala CDM hawajajiandaa. Nimeangalia hii ratiba ya uchaguzi kuna siku Magu anaenda hadi majimbo manne wakati Lissu inaonyesha jimbo moja tu kwa siku. Pia Magu na Makamu wake muda mwingi wapo majimbo tofauti tofauti wakati Lissu na Makamu wake wao wanafuatana majimbo karibu yote.
Kingine majimbo ya mjini saivi CDM hawana support, yote Magu atawalaza, si Dsm, Arusha wala Mwanza, yote haya Magu ataongoza sasa jiulize ngome ya Lissu ni wapi ?
Haha ha ha...Jiwe kasusiwa leo singida
Tena wamkimbie kabisaaLeo hii Jiwe kaanza kuonjeshwa shubiri ya kususiwa hapa singida
Sasa hivi anacheza ngoma ya mh Lissu tuTena wamkimbie kabisaa
Atapata taabu sana ngosha huyu. Alikuwa anaendesha nchi kama familia yake.Sasa hivi anacheza ngoma ya mh Lissu tu
Kashaanza kunyooka hata ongeaongea yake imebadilika ile ya full authority imeyeyukaAtapata taabu sana ngosha huyu. Alikuwa anaendesha nchi kama familia yake.
vipi ambaye anamaliza muda mfupi baada ya hapo ni wanamziki tu.Campaign ni sayansiLissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.
Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.
Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
Sio kweliSasa mbona Chadema mikutano yao ilikosa watu maeneo hayo?