Uchaguzi 2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

Uchaguzi 2020 Lissu anaendesha kampeni kivivu, siku moja anafanya jimbo moja ilhali majimbo yako 264. Itamchukua miezi 9 kuyamaliza, tume imetoa miezi miwili tu

Leo nimewapigia salute wanyairamba kwa kumsusia Jiwe
 
Lisu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu ksbla ya kura

Kwa spidi hiyo hatanaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea Hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili,kifikra ,kisaikolojia na kipesa

Kampeni ya Uraisi tulimwambia sio lelemama au kwa kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a LELE Mother !!!!

Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni
Akiishiwa ni faida kwenu unaleta umbea wa nini
 
JIWE PESA ANAYO KUNA ZILE ZA 1.5TRILION NA ZILE ZA NDEGE, KAMPENI KWAKE MURUA.
 
Ngoma inogele. Mwaka huu hata mabubu watasema.
 
Magufuli vipi? Yeye mpak sasa ametembelea majimbo mangapi?

Yesu na Muhammad hawakuitembelea dunia nzima lkn dunia nzma leo tunawaamini. Lisu ni kusudi la Mungu. Subiri utaona.
Leo hii Jiwe kaanza kuonjeshwa shubiri ya kususiwa hapa singida
 
Lissu ameshashindwa, maana anaonekana hajajiandaa na wala CDM hawajajiandaa. Nimeangalia hii ratiba ya uchaguzi kuna siku Magu anaenda hadi majimbo manne wakati Lissu inaonyesha jimbo moja tu kwa siku. Pia Magu na Makamu wake muda mwingi wapo majimbo tofauti tofauti wakati Lissu na Makamu wake wao wanafuatana majimbo karibu yote.

Kingine majimbo ya mjini saivi CDM hawana support, yote Magu atawalaza, si Dsm, Arusha wala Mwanza, yote haya Magu ataongoza sasa jiulize ngome ya Lissu ni wapi ?
Jiwe kasusiwa leo singida
 
Nadhani ndo itakuwa furaha yenu wewe na Mtukufu Mfuga Tausi wa Chamwino. Achana maigizo ya kichawi.
 
Lissu kaishiwa nguvu aendesha kampeni kivivu majimbo yako 264 yeye siku moja anafanya Jimbo moja itamchukua miezi 9 kuyamaliza tume imetoa miezi miwili tu kabla ya kura.

Kwa spidi hiyo hatamaliza majimbo 264 ya uchaguzi anaendesha kampeni kwa mwendo wa kuchechemea, hana stamina ya kampeni na tayari anaonyesha kuchoka hasa kimwili, kifikra, kisaikolojia na kipesa.

Kampeni ya Urais tulimwambia sio lelemama au kwa Kiingereza tunamwambia Presidential campain is not a Lele Mother. Ndio maana Magufuli akichoka hupiga push up ku boost mwili tayari kwa awamu inayofuata ya kampeni.
vipi ambaye anamaliza muda mfupi baada ya hapo ni wanamziki tu.Campaign ni sayansi
 
Kama anaendesha kivivu si faida kwenu, mbona unawashwa ww shangingi
 
Back
Top Bottom