Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Hii mburukenge ndiyo tafsiri halisi ya wapumbavu
 
Hiko wazi mwenye kiti na makamu wake ngoma ina fukuta chini kwa chini ni swala la mda ita itika
 
Sawa,ndugu mwanahabari wa chama,ila ni vyema ylukaweka wazi ni mwanahabari wa chama kipi🤔
 
Mjadala wa moto sana huu!!!!

Ngoja nisichochee moto kukaripuka!!

Bt itoshe kusema chama hakina resources za kutosha kuendesha chama,

Mbower ni tajiri na ana connection hivyo tutegemee mikutano yake kushine.

Lissu Hana pesa za kurithi Wala utajiri inabidi achangiwe na wananchi.

Swali ninalojiuliza Kila kukicha ni jinsi Gani CDM itaweza kumrudishia Mbower pesa mingi alowekeza ambayo inamfanya kuwa na sauti ndani ya chama?

Solution ni tuandike KATIBA mpya,

Tutarudi kudhibiti mifumo ya upatikanaji pesa kuendesha vyama vya siasa, tukifanya hivyo tutaminya mafioso kuingiza pesa chafu ktk vyama kuvuruga Nchi.

Nyerere alikuwa na brain kubwa sana.

Mungu atatusaidia tu.

Amen
 
Pumbavu wewe!
 
Huyu Lissu wako angekuwa na Uchungu na Tanzania na Watanzania angehamishia Familia yake nchini Marekani huku Familia yake hadi Yeye wakiwa sasa ni Raia wa Marekani?
Jinga kabisa, kwahiyo kumwagiwa SMG mkanda mzima unadhani yeye kama binadamu hawezi kuhofia maisha ya familia yake?

Kuna siku Majaliwa alitoa threat akikanusha kifo cha JPM, akasema wanaozusha wapo nje ya nchi ila hapa wameacha watoto wao, wake zao, watoto wao n.k. kwa mtu yeyote anyejut
 
Thibitisha ni uongo. Mimi nimeandika ukweli
Mwongo wewe!!

Uongo #1

Mbowe aliuza chama mwaka 2015 kwa Edward Lowassa..

Kama ni kweli;
✓ Lowassa alitoa shilingi ngapi?

✓ Akampa nani?

✓ Una risiti au bank account zilikopitia hizo pesa?

Kwanini una frame uongo wa kijinga hivi huku ukitambua kabisa ni uongo, huku ukiumiza moyo na nafsi yako Kwa dhambi ya kujitakia??

Mwongo wewe!!!
 
Kama imeuzwa nani kainunua?
Kuwa na siasa za kisitaarabu ndo kuuza chama? Fikiri vizuri kisha uhariri post yako.
 
Mwambie Lisu aache kuchangisha pesa hadharani tunawapa faida ccm.
 
Thibitisha ni uongo. Mimi nimeandika ukweli
Umeshindwa kuthibitisha ukweli zaidi ya hisia. Tuonyeshe wapi viongozi wa CHADEMA uliowasema wamekataa maridhiano?

Pili tuonyeshe lini, wapi na majira ulipofanya kazi na CHADEMA na viongozi wake
 
Maono ya Lissu ni bora zaidi kwa mustakbali wa nchi kuliko hao wengine ndani ya chama wanaowaza ubunge na udiwani 2025
 
Mlamba asali mwingine huyu hapa tena kalewa asali
 
Umeshindwa kuthibitisha ukweli zaidi ya hisia. Tuonyeshe wapi viongozi wa CHADEMA uliowasema wamekataa maridhiano?

Pili tuonyeshe lini, wapi na majira ulipofanya kazi na CHADEMA na viongozi wake
Mbowe aliuheshimisha upinzani lakini sasa ni muharibifu.
Watetezi wake kwasasa ni wanufaika na vilazza...
Mbowe tumempoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…