ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Lissu shikamoo
Wewe ni mwamba wa sheria nchini.
Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza
Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi
Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe walitishika Kwa kiasi gani
Mawakili wa serikali walivo mbumbumbu wakapinga wasije kuelezea kutishika kwako
Na Sasa kesi ishakuwa rahisi
Serikali na vyombo vya ulinzi waligoma kufika mahakamani kuelezea kutishwa kwako
Lissu aliwapa mtego, ma CCM yamejaa na yamenasa