cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂Madeleka huwa anasema, "Huko mahakamani Lissu anajipigia kavukavu.".
😂😂😂Madeleka huwa anasema, "Huko mahakamani Lissu anajipigia kavukavu.".
Hazina ya Taifa inayotunzwa gerezani ili inyongwe baada ya kushindwa kuiua kwa risasi 38 huku risasi 17 zikiingia mwilini, zikatolewa 16 moja imeendelea kubaki mwilini?Huyu mwamba ni hazina ya taifa katika nyanja za sheria ila basi tu, nchi haina utamaduni wa kuthamini vipawa na vipaji vya raia wake. Ukiwa na kipaji/kipawa utaonekana kanyaboya tu hata uwe na GPA kubwa
😂😂😂 tena naamuru, katuga kila sehemu yenye tundu salio litokee hapo.Haoni mambo yalivyo anayaona yanavyotakiwa kuonekana na mara nyingi huwa hajibu swali aliloulizwa huwa anajibu swali alilotakiwa kuulizwa.
Utayumba wewe ukirudi umejaa kwenye wavu.
Katuga na samaki wenzio salio mtalitolea tundu lolote lile.
wazungu hawanaga hayo mambo, wako tayari kumuiba raia wa nchi nyingine mwenye akili kubwa kwa manufaa ya taifa lao. Wale wanathamini hata mwenye kipaji na kipawa cha kufinyanga vyunguHazina ya Taifa inayotunzwa gerezani ili inyongwe baada ya kushindwa kuiua kwa risasi 38 huku risasi 17 zikiingia mwilini, zikatolewa 16 moja imeendelea kubaki mwilini?
mie nikajua anapiga kavu kavu hajavaa KINGA,kumbe kavaa kivuia ngumi gloves,hahahahaNa majaji mmewakubalia mawakili wa upande wa mashitaka eti rais asije kueleza serikali yake imetishikaje🤣🤣🤣, lisu anajipigia kavukavu hajavaa hata grooves mikononi
hahahaha,ndio wangeenda kusema walivyotishikaHuenda kweli walitishika, Mpango na Majaliwa waliacha kazi, Samia kahamishia Ikulu Tunguu.
😂😂😂Wote tuseme
Amen
Wenzio bado wanapenda kuishi.hahahaha,ndio wangeenda kusema walivyotishika
Lissu shikamoo
Wewe ni mwamba wa sheria nchini.
Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza
Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi
Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe walitishika Kwa kiasi gani
Mawakili wa serikali walivo mbumbumbu wakapinga wasije kuelezea kutishika kwako
Na Sasa kesi ishakuwa rahisi
Serikali na vyombo vya ulinzi waligoma kufika mahakamani kuelezea kutishwa kwako
Lissu aliwapa mtego, ma CCM yamejaa na yamenasa
Noma sanaLissu shikamoo
Wewe ni mwamba wa sheria nchini.
Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza
Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi
Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe walitishika Kwa kiasi gani
Mawakili wa serikali walivo mbumbumbu wakapinga wasije kuelezea kutishika kwako
Na Sasa kesi ishakuwa rahisi
Serikali na vyombo vya ulinzi waligoma kufika mahakamani kuelezea kutishwa kwako
Lissu aliwapa mtego, ma CCM yamejaa na yamenasa
HahahahaKina Tlaatlaah na Lucas Mwanshambwa watabisha, subiri utamuona Tlaatlaah akijibaraguza
Wanajiandaa kulijibu hili tusubiriNaKumbuka Katuga aliwaeleza majaji kwamba hakuna haja ya kuwaita Viongozi Wakuu sababu , tayari mashahidi waliitwa wameshawawakilisha.
Cha ajabu hakuna hata shahidi mmoja wa mashitaka aliyeeleza serikali ilitishikaje.
Na je kwa vyeo vyao walikuwa waweza kujua serikali imetishika au laah?
Mbona tayari wamesha mpa kazi huko akiwa gerezani. Yani Lisu kama anatoka next week akiamua ana kwea zake pipa huyoo kazini mamtoni.wazungu hawanaga hayo mambo, wako tayari kumuiba raia wa nchi nyingine mwenye akili kubwa kwa manufaa ya taifa lao. Wale wanathamini hata mwenye kipaji na kipawa cha kufinyanga vyungu
Wale Jamaa Ni Kama Makerubi Ya Mfalme Zumaridi Wa MwanzaKina Tlaatlaah na Lucas Mwanshambwa watabisha, subiri utamuona Tlaatlaah akijibaraguza