Lissu brain
Lissu Yuko mbele ya mudasio tu hao akina Majaliwa, hakuna hata mtu wa serikali ya mtaa aliyefika na kusema wametishakaje, lkn pia hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nao hawakwenda kusema serikali ilitishikaje
😄😄Madeleka huwa anasema, "Huko mahakamani Lissu anajipigia kavukavu.".
Sii mawakili wa serikali tu, hata 'manguli' wao wa sheria, Kabudi, Mkunbo & Co, wameshindwa kung'amua hili na kuwang'ata sikio?!Lissu Yuko mbele ya muda
Aliwaita akijua kabisa hawatakuja Kwa viburi vyao
Na yalivyo majinga mawakili ya serikali yakatetea kutokuja kwao, kumbe mwamba anawachora
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ma mbumbumbu.Lissu shikamoo
Wewe ni mwamba wa sheria nchini.
Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza
Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi
Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe walitishika Kwa kiasi gani
Mawakili wa serikali walivo mbumbumbu wakapinga wasije kuelezea kutishika kwako
Na Sasa kesi ishakuwa rahisi
Serikali na vyombo vya ulinzi waligoma kufika mahakamani kuelezea kutishwa kwako
Lissu aliwapa mtego, ma CCM yamejaa na yamenasa
Naunga mkono hoja.Lissu alitakiwa awe Rais! Tumechelewa sana