Lissu anajua sheria aisee, aeleza kuwaita Samia, Mpango na Majaliwa aliweka mtego

Huyu mwamba ni hazina ya taifa katika nyanja za sheria ila basi tu, nchi haina utamaduni wa kuthamini vipawa na vipaji vya raia wake. Ukiwa na kipaji/kipawa utaonekana kanyaboya tu hata uwe na GPA kubwa
Hazina ya Taifa inayotunzwa gerezani ili inyongwe baada ya kushindwa kuiua kwa risasi 38 huku risasi 17 zikiingia mwilini, zikatolewa 16 moja imeendelea kubaki mwilini?
 
Haoni mambo yalivyo anayaona yanavyotakiwa kuonekana na mara nyingi huwa hajibu swali aliloulizwa huwa anajibu swali alilotakiwa kuulizwa.

Utayumba wewe ukirudi umejaa kwenye wavu.
Katuga na samaki wenzio salio mtalitolea tundu lolote lile.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tena naamuru, katuga kila sehemu yenye tundu salio litokee hapo.
Uwiiiih
 
Hazina ya Taifa inayotunzwa gerezani ili inyongwe baada ya kushindwa kuiua kwa risasi 38 huku risasi 17 zikiingia mwilini, zikatolewa 16 moja imeendelea kubaki mwilini?
wazungu hawanaga hayo mambo, wako tayari kumuiba raia wa nchi nyingine mwenye akili kubwa kwa manufaa ya taifa lao. Wale wanathamini hata mwenye kipaji na kipawa cha kufinyanga vyungu
 
Na majaji mmewakubalia mawakili wa upande wa mashitaka eti rais asije kueleza serikali yake imetishikaje🀣🀣🀣, lisu anajipigia kavukavu hajavaa hata grooves mikononi
mie nikajua anapiga kavu kavu hajavaa KINGA,kumbe kavaa kivuia ngumi gloves,hahahaha
 
Noma sana
 
Wanajiandaa kulijibu hili tusubiri
 
wazungu hawanaga hayo mambo, wako tayari kumuiba raia wa nchi nyingine mwenye akili kubwa kwa manufaa ya taifa lao. Wale wanathamini hata mwenye kipaji na kipawa cha kufinyanga vyungu
Mbona tayari wamesha mpa kazi huko akiwa gerezani. Yani Lisu kama anatoka next week akiamua ana kwea zake pipa huyoo kazini mamtoni.
 
Inawezekana hao wakuu wa vyombo waliogoma kufika ni wazalendo kweli na kimoyomoyo hawakubaliani na huu utoto na unyama unaoendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…