Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kifo sio mchezo tena cha kupigwa kwambaJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Unajidanganya na kuongozwa na hisia hasi.Mtu aliyeonja kifo na kurudi kutupa simulizi la kifo ndiyo uandike utoto wa kiasi hicho?Tundu Lissu amevuka huko unapopawaza.Wake up,chap!Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
kuna sehemu jaji alimwambia ajikite kwenye mambo ya msingiJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
angekuwa amevuka mbona kila siku analalamika kuwa yupo jela sio shelaton? unamtetea kama unalala naeUnajidanganya na kuongozwa na hisia hasi.Mtu aliyeonja kifo na kurudi kutupa simulizi la kifo ndiyo uandike utoto wa kiasi hicho?Tundu Lissu amevuka huko unapopawaza.Wake up,chap!
Msalimie sana ndugu yako na Msabato (SDA) FAUSTINE JACKSON MAFWELEJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Fedha unazopata huku zimejaa damu ipo siku zitaishia HOSPITAL YA OCEAN ROAD kumtibu mama Yako Kansa ya kizazi !!Unajitafutia laanakuna sehemu jaji alimwambia ajikite kwenye mambo ya msingi
Namtetea au huwa haumsikii anavyoongea boldly!?Tofautisha uoga na kuongea kimikakati na facts.Ingawa,sina uwezo wa kukupangia kumtafsiri kwa kadiri ya ubongo wako ulipolalia.angekuwa amevuka mbona kila siku analalamika kuwa yupo jela sio shelaton? unamtetea kama unalala nae
Mleta uzi ana changamoto.Kuna kipindi mtu akishapita kwenye kilabu cha kijijini kwao anaweza kujiamulia kuandika chochote ilimradi bando linahema kwenye kasimu kake.Hakuogopa risasi 32 ndio aogope kitanzi cha katani chawa?
Kuna askari na wanajeshi hawajawahi hata kuguswa hata risasi wameishia kuota vitambi CCM ikisikia maandamano inawaamrisha wakafagie barabara.
Utetezi sio uoga , Lissu anatoa facta hata siku 3 hamuoni aibu kuziona kama nyingi na mmemuweka ndani siku 531 kwa uhaini ambao ushahidi mliokuja nao ni video ya Youtube?
Uhaini ambao hatusikii vielelezo kama makundi ya mamluki na wanajeshi waasi, depot za risasi, mabomu, bunduki, mahandaki ma mizinga, ramani za ikulu , kambi za jeshi na bunge.
Tunasikia habari za jezi za Arsenal, kadi za magari na trekta na hoteli za Dubai.
Machawa waambieni maboss wenu wawape script bora kuleta jukwaa hili lina hadhi yake sio jukwaa la mazezeta.
Kila MTU anaogopa kuuawa, hata wale mliowauwa bila kuwapeleka mahakamani kama Polepole na wenzake wote waliogopa kuuawa na mmewauwa.Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Mleta uzi ana changamoto.Kuna kipindi mtu akishapita kwenye kilabu cha kijijini kwao anaweza kujiamulia kuandika chochote ilimradi bando linahema kwenye kasimu kake.
Mabodaboda wawili wanapeana posho.Holy shit!Ni chawa wa muda mrefu huyo anafahamika hapo anafukuzia posho yake kutoka kwa Kihongosi.
YBWYBJamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Mleta uzi badala ya kujikita kupata elimu,yeye huwa anakuwa na chuki zake kwenye pochi.Anatoa somo kwa majaji na sisi mbugila mbugila huku kitaa