Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

Kwani kesi iliendeshwa kwa siku ngapi?
Au ungeweka kifungu cha sheria kinachokataza mtuhumiwa kujitetea kwa siku tatu au zaidi ungetusaidia sana sisi wana CCM.
 
Anaogopa vipi mtu amepigwa risasi zaidi ya 20 na katoboa..huyo sio mwenzio..
 
Wewe Kwa upumbavu wako,unaona point wengine tunampata darasa Tena Bure pole Yako!
 
ngoja kwanza awafundhishe sheria hao majaji wa CCM wanafikiri kila mtu ni wa kumpikia kezi za uwongo!
 
Hata Nyerere hakuwai kunyonga mtuu
Hivyo tuliza mchono .
Na kama mna mpango wa kumnyonga nawahakikishia mtashindwa maana hata Risasi mlishindwa kumuaa .
Hivyo taratbu jilocku tuu
 
Usishangae unakufa kabla yake. Hata usiku huu unaweza usiamke asubuhi. Usichukue nafasi ya Mungu dhidi ya wanadami wenzako
Wakati Lowasa anagombea uraisi mwaka 2015. Kuna watu walikuwa wanapiga push ups majukwaani kwamba wao ni miamba wako na afya nzuri kuliko yeye na kumbeza kwamba mgonjwa hatotoboa ila waliokuwa wanambeza walitangulia wao kwanza. Maisha ni fumbo!
 
Kufa ni kwa kila mtu,
Hata wa pale magogoni wanahofu kuu ya kufa ndio sababu wapo juu juu kama wanaoga nje ili hali wana majeshi yote!!
 
Kila mwenye akili anajua hakuna kesi pale,hata kina Mobutu na madikteta wengine kama Samuya walikuwa wanafunga wapinzani kwa kesi kama hizi, mwisho wa upumbavu kama huu ni fedheha tuu na aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…