Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

Mvua zinakaribia naona parizi zimeshika kasi kwenye mashamba ya ujinga yanayomilikiwa na sisiem.
 
Yaani ulivyoandika nonsense over umekalia kisiki kinachotekenya kijambi*****
Yu may berra wochi your back!!!
 
Angeogopa angeshamsujudia boss wenu..!!

Lissu ni mwanaume na nusu..!!
 
ALAANIWE BABA YAKO ALIYEMKOJOLEA MAMA YAKO SHAHAWA CHAFU UKAZALIWA ***** WEWE
 
Risasi 16 mwilini aogope kifo?
 
angekuwa amevuka mbona kila siku analalamika kuwa yupo jela sio shelaton? unamtetea kama unalala nae
Kwasababu ni kweli yuko jela sio sheraton (Tamka sheraton sio shelaton), Polisi na UVCCM msome…… Ndio maana mnafanyishwa kazi za ajabu ajabu, shule meyooo
 
Mleta mada kweli wewe puguani uliyeifanya nafsi yako kuwa nyumva ya shetani! Yaai Lisu ajutie kukemea udhalimu wa watawala! Wewe kweli hamnazo.

Nchi ipo katika laana kwa sababu ya watawala, halafu punguani utalisikia eti heshimuni sheria!! Sheria gani? Lisu alikemea uovu unaokiuka sheria na katiba ya nchi. Hukumsikia yule mvunjaji mkuu wa sheria aliyefikia hatua mpaka ya kuramka kuwa eti katiba ni kajitabu. Ingekuwa nchi zile zinazozingatia sheria na katiba, pale alipotamka vile ilikuwa ndiyo mwisho wa utawala wake. Umeaapa huku meshika na msahafu kuwa utalinda na kuheshimu katiba, halafu bila aibu unatamka hadharani kuwa katiba ni kijitabu.


Ungekuwa na akili japo kidogo ungeweza kujihoji nafsini mwako kama kuna sheria inayosema watuwatekwe, wauawe, wapotezwe? Nani anayeyafanya hatyo.

Ungekuwa unajitambua hata kidogo ungehoji kwa nini watekaji na wadhulumu haki hawafikishwi mahakamani wakajibu ni kwa sheria au katiba gani wanayafanya hayo! Lakini ulivyo punguani na ulivyobeba roho ya shetani unamlaumu Lisu anayekemea uovu, na kutaka katiba ya nchi iheshimiwe.

Katiba inasema nchi iwe na uchaguzi huru na wa haki, lakini watawala dhalimu wanajipachika madarakani. Katiba inasema mhalifu afikishwe mahakamani lakini watawala dhalimu kila wanayehisi anawakosoa wanamteka na kumwua!!

Ungekuwa na akili japo kidogo ungejiuliza pia, Polepole alifanya kosa gani? Nchimbi yuko wapi? Dr. Ulimboka alifanya kosa gani? Ali Kibao alivunja sheria gani hadi kumfanyia ushetani ule? Na mamia wote waliopotezwa na watawala dhalimu walikuwa na makosa gani? Kama walikuwa na makosa, kwa nini hawakufikishwa mahakamani?
 
"Ulopokaji" ni nini?
Unajua nini maana ya Final submission?
 
Kuogopa kifo ni asili ya mwanadamu. Hata wewe sahizi unaogopa kifo so, kupambania kwake haki hakuondoi yeye kuogopa kifo.HATA WEWE UTAKUFA YAWEZEKANA VIBAYA KULIKO LISU! POLEPOLE alikuwa anajimwambafai kwamba CCM wanatembelea magari ya thaman kuliko wengine...aliwabeza sana wapinzani na hakuwahi kujua mwisho wake utakuwaje ila mwisho tukaoneshwa video damu nyingi imemwagika na milango kuvunjwa. Kifo ni fumbo!!
 
Kila wakati "sinyongwi Mimi, kwanza nina familia"! Utafikri wakati anaropoka alikuwa hajui kama ana familia.
 
Mandela feki huyo! Mandela wa kweli hakuwa mwoga alikaa miaka 27 gerezani huyo kibaraka mwaka na nusu anavyolia sasa, amechanganyikiwa faraja yake ni kuona hao nyumbu wake. Hizo porojo zote ni kutoa stress hakuna point anajaza tu makaratasi.
 
Upuuzwe.
 
Kwani mtu ananyongwa tu bila kukutwa na hatia?, wewe hauogopi kunyongwa, tena bila hatia?.
 
Nyie mmetumia mwaka mzima kutoa ushahidi yeye kujitetea siku tatu tu imeshakua nongwa

Kweli kunya anye kuku akinya Bata kaharisha
 
Ungekuwa wewe usingejitetea ebu mda mwingne tumia hata macho km akili imeshindwa kuchakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…