Nilitaka nimwambie hivi thanks.
Huyu Yehodaya ukweli anaujua lkn alishaamua kujitoa ufahamu.
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo
Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchuimi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti.hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja .Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?
Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!
Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Kwani China ikoje? Marekani ikoje???Suala ni Tanzania yetu na kesho yetu itakuwa vipi tukiruhusu sera ya majimbo.
Punguza unyonge wa kiakili ridhika na cha kwako ulichopewa na Mungu.
USA wamepigana civil war, na yale majimbo ni Suluhu ya vita.
Hizo zote walipigana wao kwa wao yaani Civil war wakaona ufumbuzi ni kuazisha serikali za majimboUS, UK, German, Kenya, South Africa, Nigeria zina majimbo tunazizidi nini.
Kwa iyo Kama wanapinga kila kitu ndo wasipelekewe maendeleo pamoja na kwamba na wao wanalipa kodi???Nimekujibu kwa kukwambia kuwa upinzani umejikita kupinga kila kitu hata mambo ambayo ni progressive.
Upinzani unafanya siasa hata katika masuala yasiyohitaji siasa.
Huko kwa bwege kiusalama kuna masuala mabaya sana yalifanyika na yakataka kuivunja kabisa Tanzania, siwezi kuyaandika humu jukwaani.
Kwani Tanzania kina Mkwawa , Kinjekitile hawakupigana vita??USA wamepigana civil war, na yale majimbo ni Suluhu ya vita.
Ikitokea Afrika ikawa na wazo la kuungana na kuwa ni nchi moja mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kuunga mkono Tanzania iwe ni jimbo mojawapo.
China na Marekani wanayo misingi ya sera ya majimbo, hawakuamka tu na kuwa na majimbo.Kwani China ikoje? Marekani ikoje???
Jibu la swali lako ni kuwa Tanzania yetu ya kesho itakuwa na maendeleo ya uhakika na wana China viongozi wanaowajibika vizuri kwa maendeleo yao ya kweli.
Kauli za Mh. Za hivi juzi ni za kupigwa vita sana na mtanzania yeyote mwenye akili timamu.Nimekujibu kwa kukwambia kuwa upinzani umejikita kupinga kila kitu hata mambo ambayo ni progressive.
Upinzani unafanya siasa hata katika masuala yasiyohitaji siasa.
Huko kwa bwege kiusalama kuna masuala mabaya sana yalifanyika na yakataka kuivunja kabisa Tanzania, siwezi kuyaandika humu jukwaani.
Kwa iyo Kama wanapinga kila kitu ndo wasipelekewe maendeleo pamoja na kwamba na wao wanalipa kodi???
Maendeleo ni fadhila au haki ya mtu kutokana na kulipa kodi???
Nani kakwambia sie tutatamka tu bila kuweka misingi???China na Marekani wanayo misingi ya sera ya majimbo, hawakuamka tu na kuwa na majimbo.
Sisi Tanzania tunategemeana sana na Nyerere hakuwa mjinga kusisitizia utaifa kwanza.
Nani kakwambia maendeleo ni ziada??? Wewe jamaa una elimu gani kwanza??? Maana tuanzie hapa, Naona kama Kuna kilaza aliyetukuka anayejidhalilisha tuMaendeleo ni haki ya kila kona ya nchi lakini siasa zikizidi hata hayo maendeleo huwa yanaonekana ni ziada.
Kung'ang'ana na ujinga unao gharimu taifa eti kisa alianzialsha nyerere ni ujinga mkubwa zaidChina na Marekani wanayo misingi ya sera ya majimbo, hawakuamka tu na kuwa na majimbo.
Sisi Tanzania tunategemeana sana na Nyerere hakuwa mjinga kusisitizia utaifa kwanza.
Wakati wa uhuru vita zilikuwa zimeshakuwa ni historia. Nyerere alijenga nchi kwa kutumia dhana ya kuwaunganisha watu.Kwani Tanzania kina Mkwawa , Kinjekitile hawakupigana vita??
Kung'ang'ana na ujinga unao gharimu taifa eti kisa alianzialsha nyerere ni ujinga mkubwa zaid
Unatakiwa kujua enzi za nyerere hali ilikuwaje na sasa hali ikoje , mifumo ya nyerere kwa sasa haina nafasi maana ni mzigo mkubwa sana na ni ya kikolon sana
Mkoa mmoja una lundo la viongozi na wote wanatumia gharama kubwa za uendeshaji.
Kwa iyo Nani kakwambia kurudisha majimbo ni kurudisha uchifu???? Hicho kichwa chako unafugia nywele tu???Wakati wa uhuru vita zilikuwa zimeshakuwa ni historia. Nyerere alijenga nchi kwa kutumia dhana ya kuwaunganisha watu.
Akavunja kabisa uchifu kwa kuwaona machifu ukuu wa mikoa na uwaziri ili tuongee lugha ya utanzania.
Ukirudisha majimbo unarudisha hulka ya watu kujitambulisha kimaeneo badala ya kujitambulisha kama watanzania.
Mbona Marekani hawaliii, Mbona Ujerumani hawalii???Hiyo hali ya sasa ina misingi ya zamani isiyokwepeka.
Msidanganywe na kina Tundu Lissu, mtakuja kulia kilio cha mbwa mdomo juu.
Si kweli nigeria hakuna ukabila kwa kiwango unacho dai nimeishi huko tatizo lililopo ningeria kwa sababu hata tanzania kuna ukabila tena mkubwa tuNigeria kuna ukabila uliojengwa kwa msingi wa majimbo yao. Wanajitambulisha kwa ukabila wao.
Sera ya majimbo itaigawa nchi.