Uchaguzi 2020 Lissu anaongelea tu Serikali za Majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji zitatoka wapi

Hiyo hali ya sasa ina misingi ya zamani isiyokwepeka.

Msidanganywe na kina Tundu Lissu, mtakuja kulia kilio cha mbwa mdomo juu.
Muwe mnaongea kwa fact sio kupinga tu eti kisa hoja hiyo imetolewa na mtu wa upinzani huo nao ni mpasuko wa kitaifa kudhan kwamba hoja ya mpinzani wako kisiasa si hoja hata kama inamashiko.

Majimbo kiukweli kabisa yatapunguza gharama za uendeshaji kwa kiasi kikubwa sana sana tofauti nanilivyo hivi sasa mkoa mmoja au wilaya ina utitili wa mabosi hadi wao kwa wao hawaju nani mkuwa wa mwenzie wanaishia kufokeana majukwaani kama watoto
 
Hiyo hali ya sasa ina misingi ya zamani isiyokwepeka.

Msidanganywe na kina Tundu Lissu, mtakuja kulia kilio cha mbwa mdomo juu.
Na wewe nadhani kuna shule unatakiwe ukaiongeze kichwani mwako maana inavyo onesha una ielewa duni sana kuhusu uongozo wa majimbo
 
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi

Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo

Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchuimi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti.hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja .Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?

Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!

Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Tafuta kalamu na counter book ili wakati anaongea uandike kile anachokisema. Gharama za uondeshaji ni hizo hizo tunazotumia kuendesha mikoa na wilaya. Anataka wakazi wa eneo husika waweze kujichagulia viongozi wao, wajipangie mipango yao ya maendeleo na serikali kuu iwe na kazi ya kutekeleza mipango ya kitaifa. Siyo kama sasa watu mnaletewa viongozi mpaka wa vijiji na mitaa ambao ni wateule wa raisi.
 
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi

Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo

Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchuimi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti.hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja .Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?

Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!

Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Gharama za watatoa mabeberu, ambao atawapa rehani migodi yetu.
 
Kifupi Chadema wanachotaka ni kuivunja nchi vipande ndio agenda zao ziko mbili za kuivunja kwanza kuvunja muungano wa Tanzania na zanzibar halafu pili kuivunja vunja nchi kwenye majimbo ambayo kila jimbo katakuwa kanchi huru
 
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi

Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo

Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchuimi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti.hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja .Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?

Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!

Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Hayo majimbo uanzishwaji wake utakuwa shirikishi 'not over night'
 
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi

Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo

Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?

Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!

Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Singida Kuna upepo wanaweza zalisha mpaka 500megawhatt,

Singida Ni hub inaungasha mikoa mingi kwa usafirishaji ukiweka tozo tu unapata hela nyingi

Kuna uranium pale, usicheze na ura ium

Haya ulizaswali lingine?
 
Nadhani lazima utambue kuna miundombinu ya kitaifa na ile ya kijimbo

Ile ya kitaifa ikiwa chini ya TANROAD
Na ya kijimbo chini ya TARULA

Ya kitaifa lazima serikali kuu ishughulike nayo
Hizi za kijimbo utaratibu ukiwekwa vizuri inawezekana kabisa.

Singida na mikoa mingine unayoona haitakuwa na vyanzo vizuri vya uchumi , ni kwa sababu tu ya elimu yako ndogo na mawazo finyu ya wazee wa ccm.

Kuna namna nyingi za kufungua fursa katika maeneo hayo na yakawa potential kuliko hayo unayodhani.

Hii ni mifano michache tu

1. Serikali ya kijimbo inaweza ikawekeza kwenye kilimo na kukikuza zaidi kwa upande wa mazao yanayokubali mkoa huo kama alizeti na vitunguu.

Hapa itahakikisha miundombinu ya umwagiliaji na matractor yanasaidia kukuza shughuli za kilimo jimboni.

2. Lazima serikali hii ifanye bidii kujenga viwanda vikubwa zaidi vya ukamuaji mafuta vitakavyo wanufaisha wakulima na sio vile vya wanyonyaji wafanya biashara

3. Hapa vinaweza kuwekwa viwanda mbali mbali ambavyo uendeshaji wake hauhitaji matumizi makubwa ya maji kwa kuanzia mfano cement, ili vilete ajira na kodi kwa jimbo

Lakini pia tafiti za vyanzo vya maji ya chini (underground water sources) zifanywe.

4. Jimbo lihamasishe kilimo cha nyuki na kuwasomesha wataalamu wengi wa asali ili wawasaidie wakulima namna ya kuendesha shughuli hii kwa faida

5. Jitihada zifanywe kufungua viwanda vitakavyozalisha vifaa maalumu vya uvunaji asali kwa mahitaji ya kitaifa sio kulenga singida tu. Hii itasaidia kushusha gharama za uzalishaji wa asali kushuka ili soko la asali yao liwe juu na kwa bei affordable.

Hata hivyo tafiti ziendelee kufanywa ili vyanzo vingi zaidi vya kiuchumi viendelee kugundulika kwa manufaa ya watu wa mikoa hiyo

Maana tafiti hizo ndizo zilizofanya kanchi kadogo na jangwani kama israel kufanya vizuri kwenye uzalishaji wa chakula

Huu ni mfano kwetu tujifunze
 
Wakuu hebu tuacheni kupotosha watu.Mfumo Tanzania wa Serikali za Mitaa una matatizo na lazima ufanyiwe marekebisho,Mkapa aliliona hilo ndio maana alikuja na Local Government Reforms.CCM acheni propaganda na haya mambo ya Divide and Rule.Sera ya Majimbo nia yake si kugawa watu bali kuleta maendeleo kwa kutengeneza mifumo ambayo ni rahisi kuendesha na kuwapa wahusika wa eneo Binafsi Mamlaka ya kufanya maamuzi na kushiriki kujiletea Maendeleo.Kusema kuwa Sera ya Majimbo italeta Ubaguzi Binafsi naona ni upotoshaji wa khali ya juu,kukiwa na Sera ya Majimbo local connections ya wakazi wa hilo jimbo haiwezi kuwa kabila lao bali mchango wao,kama unafanya kazi hapo na kuchangia kulipa kodi kwa namna moja au nyingine basi una local connection ya hilo jimbo na hilo jimbo linawajibu wa kukujali wewe na kuhakikisha unafanikiwa kwa Sababu unachangia kwenye local Economy.Hii itafanya watu wawe na mapenzi zaidi na Community zao pia
Sera ya Majimbo itasaidia sana kuongeza ukusanyaji wa mapato localy na utumiaji mzuri wa resources kuliko huu mfumo tulio nao ambao 90% ya fedha zinatoka Serikali kuu.Binafsi naona ni jambo jema sana ambalo litaleta chachu ya Maendeleo,Ajira hata kuongeza Ubunifusi Mikoani.
Pia litapunguza vyeo vingi ambavyo vina ongeza gharama,kwa mfano,Wakuu wa Wilaya,Mikoa,na Wakurugenzi,watoke tu,kuwe na Madiwani na Mameya .
Serikali kuu bado itakuwa inafanya kazi na Serikali za mitaa na bado Serikali za Mitaa zitapeleka baadhi ya Mapato Serikali kuu ila hizo pesa zigawanywe kama grants kwa formula inayoeleweka sio kama sasa hivi.
 
Sera ya majimbo msingi wake ni ubinafsi, ukabila na roho ya uchoyo.

Ni sera ambayo imechukuliwa kutoka nje pasipo kuangalia msingi wa utaifa wetu.

Msingi wa utaifa wa Marekani ni tofauti na ule wa Russia ni tofauti na ule wa Zambia ni tofauti na ule ww Afrika ya Kusini.

Ni sera ambayo ukiitazama kwa juu juu unaweza kudanganyika.
Hapo umeeleza nin?Nilitegemea ufafanue hizo claims zako lakini umeishia kupapasa tu,hii ni dalili kuwa huna unachokijua isipokuwa umekaririshwa nawe ukameza kama yalivyo!
 
Jiulize ni kwanini jimbo la Bwege na mengine ya upinzani yanaonekana “mzigo”, tafakari kwa undani usiitazame taswira ya juu juu ukajenga hoja potofu.

Sera ya majimbo inakwenda kujenga hulka ya watu kujitambulisha kwa maeneo wanayotoka, jambo ambalo ni bata sana linaloua moyo wa utaifa.
Kongwa vipi?Mtama je?

Akili zenu mnadhani sera ya majimbo basi ni haya majimbo yaliyopo!!
😁😁😁😁,CCM mmejazana vilaza wengi!
Mikoa ndiyo itaunganishwa kuunda jimbo,shwain!
 
Mkuu Yehodaya, sera ya kunadi serikali za majimbo ni hatua ya awali kabisa ya kutaka kurudisha mamlaka ya kusimamia vyama na kwa ufanisi rasilimali na mapato kwa wanachi badala ya kuhodhiwa na viongozi wachache waliopo serikali kuu. Sera hii ina mfanano na ile ya Mwl. Nyerere ya madaraka mikoani, isipokuwa hii mipango yote ya mapato na matumizi itasimamiwa na bunge la jimbo husika.

Gharama za uendeshaji wake utakuwa ni sawa kabisa na kama inavyoendeshwa hivi sasa na serikali kuu. Na vyema ikaeleweka ya kuwa, kwa uwepo wa serikali za majimbo, itakuwa si kwamba fedha zote zipatikanazo kutoka ktk jimbo husika zitatumika zote hapi hapo tu. La hasha! Kwa yale majimbo yenye mapato zaidi sehemu ya fedha zake zitapelekwa serikali kuu kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli zake, na pia kuyapiga jeki majimbo mengine yenye changamoto zaidi za kifedha.
Labda, tuseme majeshi, bunge kuu,TISs, diplomasia, ya takuwa mambo ya serikali kuu mengine yote ya jimbo
 
Singida Kuna upepo wanaweza zalisha mpaka 500megawhatt,

Singida Ni hub inaungasha mikoa mingi kwa usafirishaji ukiweka tozo tu unapata hela nyingi

Kuna uranium pale, usicheze na ura ium

Haya ulizaswali lingine?
vyote ukivyoeleza hewa kwa sasa kinachoingiza pesa singida ni vidumu vya mafuta alizeti Mkitaka barabara ya lami hadi mpige magoti kuomba kwingine nje ya singida
 
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi

Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo

Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?

Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!

Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
Kwani umeambiwa Serekali kuu haitakuwa inapeleka maendeleo pia au umeamua kuwa kipofu wa maono..
 
Serikali kuu haiwi na pesa Nyingi

Pesa zinazoenda serikali kuu ni za uendeshaji serikali pesa nyingi zinabaki kwenye majimbo

mfano dar es salaam imekusanya kodi milioni mia moja na kuchangia gharama za uendeshaji serikali kuu inatakiwa kuchaga asilimia kumi ya kodi ilizokusanya hivyo itapeleka serikalini Kuu milioni kumi hizo zinszoaki milioni tisini ni za Dar hazitaenda singida wala serikali kuu ni za watu wa Dar hizo

Kama kuna miradi ya kitaifa majimbo yote yatachangia yale ambayo mradi huo utawagusa Usiowagusa hawachagii
 
Jiulize ni kwanini jimbo la Bwege na mengine ya upinzani yanaonekana “mzigo”, tafakari kwa undani usiitazame taswira ya juu juu ukajenga hoja potofu.

Sera ya majimbo inakwenda kujenga hulka ya watu kujitambulisha kwa maeneo wanayotoka, jambo ambalo ni bata sana linaloua moyo wa utaifa.
Watu sasa hawajitambulishi kwa mikoa wanayotoka?
 
Kila jimbo litakuwa na gharama zake za uendeshaji kulingana na rasilimali zake,idadi ya watu,idadi ya watumishi,mahali lilipo n.k.Gharama zitatofautiana sana.Mf. majimbo yaliyo mipakani yatapa ruzuku kubwa zaidi kutoka serikali kuu kwa sababu mipaka ya kitaifa na majeshi itabaki kama mambo ya serikali kuu.
Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi

Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo

Chukulia Singida tegemeo lake kuu la uchumi ni kuuza vidumu vya mafuta ya alizeti. Hivyo vyaweza jenga barabara za lami? Kilomita moja tu ya lami inasoma Gharama ya bilioni moja. Hivyo vidumu vya alizeti vyaweza jenga barabara na kulipa mishahara ya wafayakazi wa jimbo?

Afafanue pia kuhusu gharama za kuendesha jimbo asilaghai tu ohh mujiamulie wenyewe!!!

Ukimsikiliza uaona kabisa mlaghai kwenye gharama Za uendeshaji na za miradi ya maendeleo zitakako toka hagusi anahamia hoja nyingine mbio
 
majimbo yaliyo mipakani yatapa ruzuku kubwa zaidi kutoka serikali kuu kwa sababu mipaka ya kitaifa na majeshi itabaki kama mambo ya serikali kuu.
Pesa za jeshi haziendi majimboni zinatoka serikali kuu kwenda jeshini moja kwa moja Jeshi ni jukumu la serikali kuu sio Jimbo gharama zinaebwa na serikali kuu ya baada ya kupokea michango ya majimbo ya gharama za uendeshaji serikali kuu
 
Amesema sio lazima yawe majimbo,inaweza kubaki hata mikoa au iite chochote unachotaka jambo la msingi ni kwamba viongozi wake lazima wachaguliwe na wananchi na wananchi waweze kuwawajijibisha.

Back
Top Bottom