Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Sera yenu msingi wake ni udikteta na kubinya uhuru wa kuchagua viongozi wananchi wanaowataka. Mnataka ma RC na maDC makada wa chama chenu ndiyo waongoze majimbo mikoa na wilaya. Wakati hawajachaguliwa hata kwa kura moja na wananchi na walio wengi ni walioshindwa ubunge. Msingi wa utawala wa majimbo ni wananchi kuongozwa na viongozi waliowachagua wenyewe, siyo sasa tunadanganyika tunachagua viongozi kumbe ni wawakilishi tu wasio na mamlaka ya kuagiza hata choo cha tundu moja kijengwe, mamlaka yote yapo kwa mawaziri, madc, marc na maDED ambao HAKUNA HATA MMOJA ANAYECHAGULIWA NA WANANCHI. NO POLITICAL LEADER SHOULD COME INTO POWER WITHOUT BEING ELECTED BY VOTES OF THE POWER THROUGH A BALLOT BOX
Maisha hayaishii kwenye utawala pekee, tanashuka kwenye mahusiano ya wananchi.
Yanashuka kwenye matumizi ya rasilimali za nchi.
Ubaya ya mfumo wa majimbo ni ule uchoyo kwamba rasilimali hii isiguswe na majimbo mengine.
Kinachopatikana Mtwara kinatumika kwa faida ya nchi nzima.
Kinachopatikana Kagera kinatumiwa kwa faida ya nchi nzima na hiyo ndio maana ya umoja.