The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Halafu awamu hii au tuseme kuanzia awamu iliyopita value ya Ukuu wa Mkoa au Wilaya imeshushwa kwa kiasi kikubwa.Hakuna 100% solution of anything,kuna trade-offs..
Utawala wa mikoa ni most pathetic system ever happen..
Majimbo na mikoa,majimbo system ni afadhali kuliko huo uchafu wa kikoloni..
Pick your poison!
Hivi Imagine unaletewa Gambo, Makonda, sijui Mnyeti kuwa Wakuu wa mikoa. Actually, hiyo ni dharau kwa wananchi .... Hamna cha maana walichokuwa wanafanya zaidi ya kusubiri maelekezo, kupiga kelele na kujitutumua kuonyesha wana madaraka. They were incompetent at every level you could think about!
Sasa badala ya kuletewa mtu kutoka Dodoma, watu wachague mtu wanayemtaka kuwa mkuu wao wa Mkoa ... sijui watu wanashindwa kuelewa nini hapo. Kama wanaona sawa kuchagua Mbunge au diwani mkazi wa eneo husika kwa nini kuna tatizo kwenye mkuu wa Wilaya au Mkoa. Utafikiri Mkuu wa Mkoa na Wilaya ndiyo wanaotuunganisha Watanzania. Imagine mpaka Katibu Tarafa na Kata wanachaguliwa Dodoma!!