Ushoga ni tatizo kwenye jamii yetu kama matatizo mengine, fikiria kaka yako ameolewa na mko kwenye kikao cha familia utamuitaje mume wa kaka yako shemeji au baba mdogo… YBWYBMimi nilikuwa nabishana na mtu namwambia ommy akiwa shoga wewe unaathirika na nini hana jibu la maana
kusema kweli wajinga Tanzania wapo japo mie ccm lakini i feel pain for lissu maana kuna sehemu anaongea kweli
Unatumia jina lililoletwa na hizo hizo imani na bado unajiona haujaingia kwenye mfumo wao. Upo okay?Mie mtu makini sana katika kuishi duniani siwezi kuishi kwa kanuni alizoziweka mwarabu kupitia uislam au mzungu kupitia ukristo
SHujajibu swali langu mie nikiwa ***** wewe unaathirika na nini
Leo mchana tulikaa sehemu, kukawa na hoja hii ya dudu baya, mie nikawauliza, ushoga na kilichotokea Oct 29 kipi ni tatizo, m1 tu akasema lile ni tatizo tena kubwa sana, wengine wote wakasema ile ilitokea km ajari sio km ushoga mtu anaamua awe, nikauliza tena, kati ya ushoga na mauaji au utekaji kipi ni hatari zaidi, wamebaki wanajiuma uma, badala watoe hoja, wakaanza kunitukana na kunishambulia, kuna m1 ndugu yake alikufa ile siku, nikamtonosa kwenye kidonda, kati ya ushoga na ndugu yako aliyekufa unapigania nini? Kaanza kubadilika kuwa mnyonge, nikamuambia hivi, "akili kichwani kwako usipende kushikiwa" nashangaa kaanza kulia, mie huyoo nikajiondokea zangu.Kwa sababu vichwani wamebeba mavimavi.
Ushoga ni kosa lakini sio tishio na haijawahi kuw tishio duniani tangu dunia imeumbwa.
Ni dhambi chafu. Lakini sio changamoto
Sasa mie nikiwa ***** wewe unawashwa na nini
Machoko wametoka walipojifichaDudubaya ongeza kuchochea moto,
Machoko na wasagaji wameanza kutoa milio kila kona.
Kwahiyo nyie wenye hiyo ajenda nyingine mmezidiwa nguvu sio?Dizi wala dizi
Mimi I'm the realistic guy najua hiyo movement ni planned na Hilo tamasha la miaka 30 ni la Ccm na hao Ccm ndo wanampa airtime
Lengo kuhamisha ajenda
Akiolewa kaka angu wewe unaathirika na niniUshoga ni tatizo kwenye jamii yetu kama matatizo mengine, fikiria kaka yako ameolewa na mko kwenye kikao cha familia utamuitaje mume wa kaka yako shemeji au baba mdogo… YBWYB
Dudubaya ni kama amepulizia dawa ya kuua wadudu shambani, basi madudu yote maharibifu kwenye kona za shamba yanakimbia kutetea uhai wao.Ushoga ni tatizo kwenye jamii yetu kama matatizo mengine, fikiria kaka yako ameolewa na mko kwenye kikao cha familia utamuitaje mume wa kaka yako shemeji au baba mdogo… YBWYB
Kabisaa tena kupitia hili, lissu akitoka nje, afanye mambo yake aachane na kuwapigania matahira wa hii nchi.Wakili Msomi amejielekeza vibaya kuwapigania watz.
Mambo ambayo kimsingi anayoyapambania Tundu lisu wananchi wengi hawako tayari kumuunga mkono.
Busara ilitakiwa ni kuwaacha wapigwe na maccm hadi akili ziwakae sawa.
Ukikosa aman ya kuweza kufurahia uhai mie napata niniNakosa amani ya kuweza kufurahia zawadi ya uhai.
S
Sasa kama ndugu unatiwa au umeolewa unakuja kwenye kikao cha Ukoo na mume wako tunamuitaje maana sisi hatuna terminology Hizo au tunasema wanaume wakachimbe kaburi, wanawake waende jikoni wewe utakuwa unaenda wapi?Hujajibu swali langu mie nikiwa ***** wewe unaathirika na nini
Halafu wanavyojizima data unaweza kusema issue ya Lisu wameijua baada ya Dudubaya kuibuka na agenda ya kukemea mashoga.Kwahiyo nyie wenye hiyo ajenda nyingine mmezidiwa nguvu sio?
Siku hizi hata mvua ikinyesha mtasema inataka kuwatoa kwenye reli,
Dudubaya pia anapigania matatizo yanayo ikabili jamii,ndio mgawanyo wa majukumu ulivyo,na nyie fuatilieni mlichokua interested nacho,tusipangiane maisha,
Msijione kua nyie ndio mna akili kuliko watu wote,nyie katika kufuatilia kwenu mmebadilisha nini? Imewasaidia nini so far? Yani mataka kuwapangia watu wote wafuatilie jambo moja!!
Dudubaya chochea kuni,machoko wamesha anza kutoa milio kila kona.
Unatakiwa kuachana na ushogaUkikosa aman ya kuweza kufurahia uhai mie napata nini
lakini sija muattack mtu why nyie mnaatack watu waliochagua maisha dimpoz akiwa shoga wewe unawashwa na niniNa lisu akiwa jela endelea kuwashwa pekee yako na sio ku share maumivu yako huku uone kama kuna mtu atahangaika na wewe
Yaani mtu anashindwa kupigania mambo ya msingi kwa mustakabali wa taifa, anapigania jambo binafsu la mtu.Mimi nilikuwa nabishana na mtu namwambia ommy akiwa shoga wewe unaathirika na nini hana jibu la maana
kusema kweli wajinga Tanzania wapo japo mie ccm lakini i feel pain for lissu maana kuna sehemu anaongea kweli
That's spinning gameAgenda ipi wanahamisha?
Na madhara yake ni yapi kama wasipohamisha?
Nikikemea ushoga napata niniHalafu wanavyojizima data unaweza kusema issue ya Lisu wameijua baada ya Dudubaya kuibuka na agenda ya kukemea mashoga.
Unatakiwa kuachana na ushoga
Sio kwa Bongo hii. Hawa hawana hilo unalosema weweHao ni wachache sana...kuna namna watu wanaamka kimya kimya kufuatilia vitu baada ya kujua mbinu za wanaosemwa.Wasingetumia nguvu kubwa kutunga tunga ideas za kijinga jinga kama hizo.
Tanzania hii ya sasa wanasiasa wasipo jibadili kuna watu watateseka sana huko mbeleni kwa mbinu zile zile wanazotumia.MUDA