Umeandika Jambo la msingi Sana mkuuTUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani.
Tundu Lisu ni moja ya wapiganaji wa level za juu katika nchi hii ambapo mambo anayoyapigania yanagusa maisha ya watu moja kwa moja, kila familia, kila ukoo. Mtu yeyote.
Lisu anapigania haki mpaka za viongozi waliopo madarakani, usalama wa taifa, polisi, wanajeshi,magereza, watumishi wa umma na Watanzania wote.
Lisu anapigania HAKI, anataka jamii yehye kufuata sheria, yenye kutii sheria, yenye kuheshimu haki za binadamu.
Lisu hataki watu waonewe. Yeye huo ndio wimbo wake.
Kwa level ya elimu na kiwango cha maarifa alichonacho. Lisu angeweza kula na State, dola akakaa zake kimya maisha yakendelea. Na serikali ingemfaidi. Lakini yeye akachagua njia ngumu.
Dudu baya yeye kaja na Kupinga Ushoga. Kama nilivyosema yuko sawa.
Lakini mshtuko wangu upo hapa,
Uungwaji mkono kwa Dudu baya ni mkubwa sana.
Kila mtu YBWYB kila mtu Linda mgongo wako. Imefikia hatua watu wanachanga kwaajili ya Dudubaya.
Mpaka watu wanachapa Tsheti. Imagine.
Mpaka watu wanatukana basata.
Mpaka wasemaji wa timu za mipira nao. Wanamuunga mkono.
Yaani ni makundi mengi sana.
Lakini upande wa Lisu anayetetea Haki na mambo mengi na makubwa zaidi pamepoa.
Lisu anatetea haki sio tuu za wenye HAKI bali mpaka haki za waliokosea.
Kwamba huyu ni muuaji lakini naye anahaki zake. Yaani mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni. Mnyongeni kwa kufuata taratibu.
Fikiria watu walivyokuwa wanatekwa alafu kila makundi ya watu wawe wanapiga kelele.
Embu angalia picha ikivuja ya uchi watu watakavyoishabikia. Wanajua kabisa ni uovu. Lakini wanashabikia.
Fikiria suala la Engonga yule aliyevujisha video za uchi. Angalia vijana wanavyompenda. Licha ya kuwa ule ulikuwa udhalilishaji. Unaweza ukaona upo kwenye jamii ya aina gani.
Fikiria ongezeko la single mothers ambapo ni matokeo ya ngono zembe na zinaa.
Unapinga Single mothers alafu upande wa pili wanaume wanajisifu kutia mimba wanawake hovyohovyo.
Jamii yetu inahitaji kubadilishwa kifikra ambapo ndio kazi kubwa kuliko kazi yoyote duniani.
Ni rahisi kubadilisha uchumi lakini ni ngumu sana kubadilisha fikra.
Kubadilisha mfumo wa utamaduni.
Watu kupambana na chanzo badala ya kupambana na matokeo.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga
Hujajibu swali la msingi.That's spinning game
Sio kukemea. Unataka kuachana nao.Nikikemea ushoga napata nini
Kabisa duniani hakuna msafi ila watu wanachagua dhambi kama umeamua kutetea watu tetea wote tuone kweli wee mtu wa hakiYaani mtu anashindwa kupigania mambo ya msingi kwa mustakabali wa taifa, anapigania jambo binafsu la mtu.
Huu ni zaidi ya uwendawazimu.
Wewe ***** acha kutuletea harufu ya haja kubwa hapa,hoja yako ni sawa na kusema jirani yako akiwa mwizi,wewe unawashwa na nini,lakini sija muattack mtu why nyie mnaatack watu waliochagua maisha dimpoz akiwa shoga wewe unawashwa na nini
Sio kukemea. Unataka kuachana nao.
Ndipo ujue Bongo kuna raia wa aina gani? Ni maiti zinazotembeaAina ya watu wanaojitokeza hivi sasa kuunga mkono ndiyo inadhihirisha kuwa kuna watu wameamua kwenda na beat kwenye jambo hili. Kwa kifupi wameli pora mazima.
Kuhusu Lissu kamwe usitarajie upuuzi kuja kuzidiwa na logical issues.
Katika yote anayopigania issue, hili la Dudubaya ni subset tu, lakini watu wameliinua hilo na kuliweka juu na kuu kuliko vifo vya watu, kutekwa, dhurma, ubahirifu, rushwa n.k
Linda mgongo wako mkuuNdipo ujue Bongo kuna raia wa aina gani? Ni maiti zinazotembea
Wabongo wanachoweza kwa ufasaha ni kupinga ushoga tuu basi.Huu ni uzi wangu bora kwa siku ya leo
Naunga mkono hoja
Taifa limejaa watu wajinga na wapumbavu halafu washamba
Sina maana kua watu wasifurahie maisha au wawe serious muda wote hapana ila kuna vitu ukiangalia unaona kabisa ni upuuzi
Na ukiseme kinyume watu wanakuja kukuita shoga
Dudu baya anachopinga ni sahihi lakini lakini ukingalia ni kama anatumika
Kuleta attention mtandaoni
Airtime aliyopewa japo sio kwa ubaya
Ingetumika kwenye mambo ya msingi pia tungefika mbali sana
Nimegundua watanzania ni wafata mkumbo
Mtu kama TL angepewa Airtime kama hivi tungekua tumepiga hatua sana
Hili taifa hili ππ
πππ uko sahihi.Mie mtu makini sana katika kuishi duniani siwezi kuishi kwa kanuni alizoziweka mwarabu kupitia uislam au mzungu kupitia ukristo
Sasa hilo lina shida gani?Wabongo wanachoweza kwa ufasaha ni kupinga ushoga tuu basi.
Nchi hii shida Sana, tunaongozwa na vilaza watupu,TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukitaka kujua akili za watu angalia yale wanayoyashabikia na kuyapigania. Hiyo itakupa picha upo na watu wa aina gani.
Tundu Lisu ni moja ya wapiganaji wa level za juu katika nchi hii ambapo mambo anayoyapigania yanagusa maisha ya watu moja kwa moja, kila familia, kila ukoo. Mtu yeyote.
Lisu anapigania haki mpaka za viongozi waliopo madarakani, usalama wa taifa, polisi, wanajeshi,magereza, watumishi wa umma na Watanzania wote.
Lisu anapigania HAKI, anataka jamii yehye kufuata sheria, yenye kutii sheria, yenye kuheshimu haki za binadamu.
Lisu hataki watu waonewe. Yeye huo ndio wimbo wake.
Kwa level ya elimu na kiwango cha maarifa alichonacho. Lisu angeweza kula na State, dola akakaa zake kimya maisha yakendelea. Na serikali ingemfaidi. Lakini yeye akachagua njia ngumu.
Dudu baya yeye kaja na Kupinga Ushoga. Kama nilivyosema yuko sawa.
Lakini mshtuko wangu upo hapa,
Uungwaji mkono kwa Dudu baya ni mkubwa sana.
Kila mtu YBWYB kila mtu Linda mgongo wako. Imefikia hatua watu wanachanga kwaajili ya Dudubaya.
Mpaka watu wanachapa Tsheti. Imagine.
Mpaka watu wanatukana basata.
Mpaka wasemaji wa timu za mipira nao. Wanamuunga mkono.
Yaani ni makundi mengi sana.
Lakini upande wa Lisu anayetetea Haki na mambo mengi na makubwa zaidi pamepoa.
Lisu anatetea haki sio tuu za wenye HAKI bali mpaka haki za waliokosea.
Kwamba huyu ni muuaji lakini naye anahaki zake. Yaani mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni. Mnyongeni kwa kufuata taratibu.
Fikiria watu walivyokuwa wanatekwa alafu kila makundi ya watu wawe wanapiga kelele.
Embu angalia picha ikivuja ya uchi watu watakavyoishabikia. Wanajua kabisa ni uovu. Lakini wanashabikia.
Fikiria suala la Engonga yule aliyevujisha video za uchi. Angalia vijana wanavyompenda. Licha ya kuwa ule ulikuwa udhalilishaji. Unaweza ukaona upo kwenye jamii ya aina gani.
Fikiria ongezeko la single mothers ambapo ni matokeo ya ngono zembe na zinaa.
Unapinga Single mothers alafu upande wa pili wanaume wanajisifu kutia mimba wanawake hovyohovyo.
Jamii yetu inahitaji kubadilishwa kifikra ambapo ndio kazi kubwa kuliko kazi yoyote duniani.
Ni rahisi kubadilisha uchumi lakini ni ngumu sana kubadilisha fikra.
Kubadilisha mfumo wa utamaduni.
Watu kupambana na chanzo badala ya kupambana na matokeo.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kahama, Shinyanga
lakini sija muattack mtu why nyie mnaatack watu waliochagua maisha dimpoz akiwa shoga wewe unawashwa na nini
Kutekwa na kuuawa ni kuzuri kuliko ushoga.Kutekwa kuzuri?
Wewe ***** acha kutuletea harufu ya haja kubwa hapa,hoja yako ni sawa na kusema jirani yako akiwa mwizi,wewe unawashwa na nini,
Hujui kua ushoga ni kosa kisheria? Kwahiyo waliotunga hiyo sheria ni wajinga ila wewe ndio una akili sio?
Kwani hao wanaomsapoti Dudubaya wamewazuwia nyie kusapoti hicho mnachokitaka?
Acheni kupangia watu maisha,kila mtu yuko huru kufuatilia habari aipendayo na anayo iona ina manufaa kwake na kizazi chake.
Mazuzu wengi sana kazi kweliπππ uko sahihi.
Kuna sehemu nili comment kuhusu hii issue nikaonekana naunga mkono ushoga si ajabu nikaitwa shoga piaWabongo wanachoweza kwa ufasaha ni kupinga ushoga tuu basi.
Hao wanaofuatilia movement ya Dudubaya,wamewazuwia nyie kufuatilia hayo mambo yenu?Huu ni uzi wangu bora kwa siku ya leo